JF Chat: All members chat

JF Chat: All members chat

Em nipe umbeya wa kuhusu Mr Gentlee
😂😂😂
😂😂😂 Unamjua mzee wa nini kimetokea??
Basi bana nasikia kampiga mashine bibi bonge halafu kapita hivi, bibi analia kadata kawa chizi hajui ashike lipi aache lipi.!!
Kapagawa jukwaani km kichaa aiiiih nyie mji mzito huu.!! 🤸‍♂️
 
akha! huyuhuyu mzee wa mafuta na maji ama kuna mwengine..?
 
Back
Top Bottom