JF challenge ya "NO REFORMS, NO ELECTION": Target replies 3K

NRNE ni Roho na Roho huwa zinapandwa na kukumioyoni kwa watu Tatizo nikuwa CCM na serikali yake wana Akili sana yakuua hizo roho zinazo wapinnga zisiendelee kwa njia mbali kwa mfano kuisambaratisha CDM.Kuua baadhi ya watu ambao wanaona ni muhimu ktk kusukuma hizo ajenda kuwapumbaza baadhi ya wstu na vizawadi kama vibaiskeli pikipiki na vifulana kwa hiyo roho za kimapinduzi zinafubaa mwisho watu wanaona sawa tu.
 
Brother utakufa kihoro mwaka huu, yaani baadhi ya wakati ninaposoma post zako huwa najiuliza hivi uko sawa kiakili? Kila kitu mnacholiazisha ni failure . Sasa mwisho hiyo misukule unayoilingania itakuwa kugundua ya kuwa uko useless!
 
Jamani mi mdau wa kindaki SiTiKi, hapa ni No reform no election
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…