JF challenge ya "NO REFORMS, NO ELECTION": Target replies 3K

Hatimaye karibu 3000 sasa, hongera nyingi wadau na mleta mada
 
Pamoja na kuwa hii kampeni imeitwa ni ya kipuuzi lakini siku zote ukiweka ardhini mbengu huwa haipotei, huota kumea na kuzaa na kuleta matokeo chanya sana.

Hii kampeni haita pita bure pasina kuleta matokeo tarajiwa , hata kama wameona ni ya kipuuzi ama haina maana ila ujumbe umefika kwingi na umeacha athari kubwa mno.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…