lintolinto
Member
- Oct 4, 2024
- 41
- 69
Tusibaki kinyonge JF ili tuje kuwa sehemu ya historia.. Mitandao mingine imeshakiwasha na kampeni inaenda vema sana... Challenge yetu ni kufikisha replies 3000 by Jumatatu na comments zake ni NO REFORMS NO ELECTION N.RN.E NoReNoE Ama picha Ama mchoro Ama style yoyote ya maneno lakini ujumbe ukiwa mmoja tuu.. No reforms no election..! Hata chawa akijaribu kuharibu uzi jibu lake liwe moja tu.. NO REFORMS NO ELECTION Ombi kwa Moderator: tunaomba muelee na kuutunza huu uziππΏππΏππΏππΏ
sawa mnajifanya NO REFORM NO ELECTION nyuma ya pazia mna_kadi za ccm,No reforms no election

Nyuzi zote za machawa humu jf kama lucas kila member mwenye akili timamu, tuandike No reform No election
Kadi za CCM ni muhimu kwa ajili ya kuchukua ela za wizisawa mnajifanya NO REFORM NO ELECTION nyuma ya pazia mna_kadi za ccm,
Acheni unafiki.
dah bure kabisaKadi za CCM ni muhimu kwa ajili ya kuchukua ela za wizi
No reform no election haina chama. Ni kampeni ya kutetea haki. Be it wamaccm au mwanaupinzani.sawa mnajifanya NO REFORM NO ELECTION nyuma ya pazia mna_kadi za ccm,
Acheni unafiki.
Hii ni yetu soteTusibaki kinyonge JF ili tuje kuwa sehemu ya historia.. Mitandao mingine imeshakiwasha na kampeni inaenda vema sana...
Challenge yetu ni kufikisha replies 3000 by Jumatatu na comments zake ni
NO REFORMS NO ELECTION
N.RN.E
NoReNoE
Ama picha
Ama mchoro
Ama style yoyote ya maneno lakini ujumbe ukiwa mmoja tuu.. No reforms no election..!
Hata chawa akijaribu kuharibu uzi jibu lake liwe moja tu.. NO REFORMS NO ELECTION
Ombi kwa Moderator: tunaomba muelee na kuutunza huu uziππΏππΏππΏππΏ
Nimetuma kwenye group la familia mapokeo yamekua makubwa sana nimeona kila mtu anapaswa kuanza ngazi ya familia itaenda kwa haraka mana ndugu tunawamudu vyemaIngekuwa vema kama kila mmoja atatuma ujumbe wa No Reforms No Election kwa watu 10 tu tungewafikia wengi