WanaJF, SALAAM!!
Kwanza nianze ku-declare interest kuwa mimi ni muislam, nisiye na mpenzi na chama chochote cha siasa. Ni mpenzi wa yeyote yule anaeitakia mema Tanzania na Watanzania.
Nianze kutoa hoja yangu kama ifuatavyo:
Nimekuwa nikifuatilia sana ideas mbalimbali katika mtandao huu na kusema kweli mengi nimejifunza. Katika hayo mengi niliyojifunza, miongoni mwao ni kuwa wana jukwaa wengi wamekuwa wakali sana pale member yeyote anapojitokeza au kuonekana kuwa ana mapenzi na CCM, CUF au ni MUISLAM.Naomba kujulishwa: Je WAISLAM ni wanachma waalikwa katika mtandao huu?
Mfano, katika JUKWAA LA HOJA MCHANGANYIKO, kuna thread pale inayosomeka WAISLAM KUANDAA RASIMU YA KATIBA. Baada ya kuisoma thread hiyo members karibu wote wameishambulia kama mpira wa kona.
Inawezekana kuwa nia ya jukwaa ni nzuri kabisa ila kuna watu(members) wasio na akili wameibaka nia hiyo njema na kui-corrupt.
Waislamu wana haki sawa kabisa ya kutoa mawazo yao kama walivyo wakristo na wasioabudu katika dini zetu hizi ambazo sisi tunaziona kuwa ni official. JAMII FORUM NI YA KWETU SOTE NA TANZANIA NI YETU SOTE. CHADEMA IPO NA ITAPITA LAKINI TANZANIA ITAENDELEA KUWEPO DAIMA DUMU MPAKA KIAMA
Shida yenu MUJAHIDINNA ndio hii....kutishia kujilipua muda wowote...MKUU
Jf ina wenyewe bana,
ulichokisema ni kweli kabisa na tatizo lililopo ni kuwa Jf imejaa watu wasiokubali kushaurika na kutambuwa michango ya watu wengine
maranyingi nimekuwa nikikemea swala la udini na uchama ndani ya JF matokeo yake niliambulia matusi kwa baadhi ya wana jf na niliomba msamaha ili kuwaridhisha wenye JF YAO
mimi nasema MSITUAMSHE TULIOLALA TUKIAMKA,HATUONI TAABU KUFA KWA AJILI YA KUPATA DHAWABU KWA ALAH,TUNAWEZA NA UWEZO TUNAO
msema ukweliii hapendwiiii daimaaaa
nyie wenye jf namba zangu ni 15202425864,skype acc(ibrahim.mtolera),nipo tayari kwa chochote kile ktk hii dunia
MAPINDUZIIII DAIMAAAAAAAAAA :bump::bump:
Mkuu hapo una maana gani?.Sasa kama Waislamu hawaingi, au CCM au CUF hawaingii, thats out of JF Society konowledge...wewe ndiye wa kushangaza kwa thread ya hadhi ya chini hivi...!
Merry Christmas!
Shida yenu MUJAHIDINNA ndio hii....kutishia kujilipua muda wowote...
Sasa kilichokufanya ufikie hatua ya kutoa namba zako ninini haswa?
Akili Matope?
Umehusu Zenj weye?mapinduziiiii daimaaaaa
Sasa ndugu kwani lazima watu wachukue ushauri wako????, si kama hawataki ni haki yao au kuna ulazima wa kuwa na fikra kama zako??????MKUU
Jf ina wenyewe bana,
ulichokisema ni kweli kabisa na tatizo lililopo ni kuwa Jf imejaa watu wasiokubali kushaurika na kutambuwa michango ya watu wengine
mimi nasema MSITUAMSHE TULIOLALA TUKIAMKA,HATUONI TAABU KUFA KWA AJILI YA KUPATA DHAWABU KWA ALAH,TUNAWEZA NA UWEZO TUNAO
MKUU
Jf ina wenyewe bana,
ulichokisema ni kweli kabisa na tatizo lililopo ni kuwa Jf imejaa watu wasiokubali kushaurika na kutambuwa michango ya watu wengine
maranyingi nimekuwa nikikemea swala la udini na uchama ndani ya JF matokeo yake niliambulia matusi kwa baadhi ya wana jf na niliomba msamaha ili kuwaridhisha wenye JF YAO
mimi nasema MSITUAMSHE TULIOLALA TUKIAMKA,HATUONI TAABU KUFA KWA AJILI YA KUPATA DHAWABU KWA ALAH,TUNAWEZA NA UWEZO TUNAO
msema ukweliii hapendwiiii daimaaaa
nyie wenye jf namba zangu ni 15202425864,skype acc(ibrahim.mtolera),nipo tayari kwa chochote kile ktk hii dunia
MAPINDUZIIII DAIMAAAAAAAAAA :bump::bump:
Majuzi tu hapa alikuwa anaimba 'Peoples Power' ..injinia wa udom huyu bila shaka. Kwi kwi kwi.Umehusu Zenj weye?
Sasa ndugu kwani lazima watu wachukue ushauri wako????, si kama hawataki ni haki yao au kuna ulazima wa kuwa na fikra kama zako??????
This is a free Country watu should AGREE TO DISAGREE...... PEACEFULLY...., SASA NAOMBA UNIAMBIE KWA HII POST YAKO KAMA UMEJENGA AU UMEBOMOA.... I dont know you lakini based on this comment of yours how do you think people will regard you.... If i were you hiyo post yako ningeifuta i think umeandika ukiwa na hasira and you dont mean your words...
Bwe he he he..
Sasa unataka kumlipua nani ustazi? Hebu tupe siri ya urembo wako.
Sasa kama Waislamu hawaingi, au CCM au CUF hawaingii, thats out of JF Society konowledge...wewe ndiye wa kushangaza kwa thread ya hadhi ya chini hivi...!
Merry Christmas
Mkuu hapo una maana gani?
MKUU
Jf ina wenyewe bana,
ulichokisema ni kweli kabisa na tatizo lililopo ni kuwa Jf imejaa watu wasiokubali kushaurika na kutambuwa michango ya watu wengine
maranyingi nimekuwa nikikemea swala la udini na uchama ndani ya JF matokeo yake niliambulia matusi kwa baadhi ya wana jf na niliomba msamaha ili kuwaridhisha wenye JF YAO
mimi nasema MSITUAMSHE TULIOLALA TUKIAMKA,HATUONI TAABU KUFA KWA AJILI YA KUPATA DHAWABU KWA ALAH,TUNAWEZA NA UWEZO TUNAO
msema ukweliii hapendwiiii daimaaaa
nyie wenye jf namba zangu ni 15202425864,skype acc(ibrahim.mtolera),nipo tayari kwa chochote kile ktk hii dunia
MAPINDUZIIII DAIMAAAAAAAAAA :bump::bump:
ucjari mkuu,sina maana hiyo uliyonayo,lengo ni kuwasiliana na wana jf wale wenye nia njema kama wapo
nilijuwa tu kuwa nitakacho towa lazima kishambuliwe kwani lipo kinyume na matakwa ya wenye JF
NAWATAKIA CHRISTMAS NJEMAAAAAA
MAPINDUZIIIIII DAIMAAAAAAA