Vumilia weye!JF ni kama tuisheni lazima utupie hadi kigiriki ili ukikosea anatokea mgiriki koko anakusahihisha.
Mpe hi Tony jaa mkuuMashushu pia Wanakuchora kwa Jicho la barare.
Jf inawatu kibao wengine tupo Bangkok tunatanua Maisha.
Sent using Jamii Forums mobile app
Thread za kishamba na kimaskini hizi.
Fanya kazi acha chuki binafsiHumu kila mtu anajua kaenglish,akiandika sentensi mbili tatu utaona kimalkia,mnatupa tabu sisi tulioishia la nne
Kingine, kila mtu kajenga anamiliki ndinga kali, dadeki mi nawachora tu.
Ni hayo tu kwa uchunguzi wangu mfupi!!
Asanteni
Sent using Jamii Forums mobile app
Tafuta hela ili wenye hela au wanazongumzia hela wasiku-intimidate.
Fanya kazi acha chuki binafsi
jf hakuna std7,wala fom4..
wote ni elimu ya chuo na idadi yetu kubwa ni wahitimu wa UDSM..
na hata wachache kama akina Gentamycin,ISIS na cocochanel na hata koba lee ndio wamepitia vyuo vya kuokoteza kama kile cha KAMPALA University
Sent using Jamii Forums mobile app
Unaupenda umaskini??