koba lee
JF-Expert Member
- Sep 29, 2016
- 964
- 1,552
Humu kila mtu anajua kaenglish,akiandika sentensi mbili tatu utaona kimalkia,mnatupa tabu sisi tulioishia la nne
Kingine, kila mtu kajenga anamiliki ndinga kali, dadeki mi nawachora tu.
Ni hayo tu kwa uchunguzi wangu mfupi!!
Asanteni
Sent using Jamii Forums mobile app
Kingine, kila mtu kajenga anamiliki ndinga kali, dadeki mi nawachora tu.
Ni hayo tu kwa uchunguzi wangu mfupi!!
Asanteni
Sent using Jamii Forums mobile app