JF bwana! Humu kila mtu anajua Kiingereza na anamiliki magari

Hilo nalo nimeliona,utasikia sijui UD siku hizi sio kama enzi zetu,mara sijui nn,mbwembwe kibao,nawachora tu!!
jf hakuna std7,wala fom4..

wote ni elimu ya chuo na idadi yetu kubwa ni wahitimu wa UDSM..

na hata wachache kama akina Gentamycin,ISIS na cocochanel na hata koba lee ndio wamepitia vyuo vya kuokoteza kama kile cha KAMPALA University


Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
ya of corse hata mm huwa sipendagi ku coment jf nikiwa na drive,,,ahaaaaa,, watu wanambwembwe,
 
3 Reactions
Reply
Back
Top Bottom