JF bora Kuliko FaceBook...

Tushakosa vya kujadili sasa, tunalinganisha Social Network na Forum?
 
Wewe ndo huna cha kuchngia.Wote wliochangia ni wajinga siyo? Haya mwenye akili leta vya kuchangia.

Hakuna aliyeita watu wajinga bali wewe ndio unataka kuanza, na pili nimetoa mawazo yangu/nimeuliza (tunalinganisha social network site na Forum site?), naomba unijibu ilo swali.

kwenye blue hapo pameniacha hoi hahahaaa.
 
Umejaribu TWITTER?
 
Thread pumba tupu.......wakuu inabidi muende vacation mje na idea mpya.....mtu mzima unalinganisha sosial netwoking na forums?
Hapa JF hapajakaa kihuni huni.
Uhuni wa facebook ni upi? JF
 

Mkuu Mzizi wa Mbuyu:
Nashukuru kwa pongezi za jina langu. Naamini kama ungekuwa mtangazaji wala usingepata shida kulitamka kwani kwa mujibu wa sentesi yako hapo juu unapenda majina ya kiafrika, tatizo ni kwamba, hata uwanjani siendi sembuse kucheza!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…