Jf bhana!

Hujakutana na matusi ya watu wa facebook,
Kikubwa ni kutotilia maanani kila jambo la humu, ingia peruzi sepa
 
Na ukitaka uvulugwe ulete mada za kina tlaahtlaah na Mwashambwa, duuh!
 
Pole mkuu

Ila single mothers ni kweli, ni wakuwagonga na kutupa mbali don't marry single mother.
 
Singlemom ni wakugongwa tuu 🀣🀣🀣🀣🀣🀣
 
Pole mamie, watu wa hivyo na wale wanaotukana matusi ya nguoni, wananiboa sana!

Naongezea πŸ‘‡ hawa wanaosemaga hivi πŸ€¬πŸ˜΅β€πŸ’«;

6. Mwandiko wa kiume huu, huwezi kua mwanamke
 
Pole mamie, watu wa hivyo na wale wanaotukana matusi ya nguoni, wananiboa sana!

Naongezea πŸ‘‡ hawa wanaosemaga hivi πŸ€¬πŸ˜΅β€πŸ’«;

6. Mwandiko wa kiume huu, huwezi kua mwanamke
🀣🀣Hapo likes ni 100
 
Itategemea lengo kuu la wewe kuwa hapa jf ni nini, kama ni kuburudika tu na kuondoa stress kunakuwa hakuna shida.
Ila kama kuna malengo mengine, hapo ndipo changamoto inapoanza, ukitegemea ujibiwe kwa mlengo fulani.​
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…