JF BBM Chitchat

Tena ni ya kiingilishi looh,
itawafaa akina kiwatengu na wenzie.
 
Last edited by a moderator:
hahahaa unadhani na mimi naweza kukuruhusu uingie huko licha ywa kwamba BB ni simu sio saizi yako DEMBA.....ebu wakuwache......

Homy waeza nipatia file la DEMBA nilifanyie ukaguzi yakinifu?

Kikombe hiki ndicho alichokupa baba?
 
Last edited by a moderator:
Homy waeza nipatia file la DEMBA nilifanyie ukaguzi yakinifu?

Kikombe hiki ndicho alichokupa baba?

hahaha hommie Asprin unapitwa na mengi. DEMBA ni mali halali ya mwenyekiti hadi tunapoongea, hebu pitia pitia. Ila ukaguzi utafanywa ile ya utaratibu tu..mengine yote file limefungwa jumla
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…