donlucchese
JF-Expert Member
- Mar 23, 2011
- 17,258
- 22,140
watu wabunifu sana, mnataka pin sasa sisi wenye Sindano mnatufikiriaje hapo..??
Kama ingekua ni kutaka pin mkuu nisingekua nafanya deletion ya contacts after every few weeks, socialization nothing personal.
kwani hapa hapatoshi ku socialize?
ishu ni kwamba huyu donlucchese anataka watu wenye sijui blacberry awa add kwen jf bbm chit chat, sasa kiwatengu ana suggest uninunulie nami niadiwembona unajistukia tena DEMBA.....enhe issue ni nini?
ishu ni kwamba huyu donlucchese anataka watu wenye sijui blacberry awa add kwen jf bbm chit chat, sasa kiwatengu ana suggest uninunulie nami niadiwe
wewe mbona kama unashangilia mie kunyimwa kununuliwa berry nyeusi na huby Kaizer? je una maslahi na hili?
mbona nahisi kama kuna uhusiano na hili languHahah hamna DEMBA nimekumbuka kituko kimoja ikabidi nicheke. Siku moja tukiwa eneo fulani hivi la kujidai akaingia jamaa mmoja mhaya si unajua tena mbwembwe zao? Akaanza kuuliza kila mmoja kabila, ukijibu we mhaya anamwambia mhudumu 'mupe' ukijibu kabila jingine anamwambia 'muruke' baasi ikawa ni mupe mupe muruke.