JF-Atheists HYPOCRITICALLY Whining!!!

jambo moja la kuvutia hapa kuwa mmoja ni Atheist aliyejipambanua na mwingine ni Polytheist pagan ASIYEJITAMBUA na mwabishana kwa vitu visivyo na faida kwenu kwani all you have one thing in common YOU ARE NOT BELIEVERS TO THE TRUE GOD,THE CREATOR,MASTER AND THE SUSTAINER OF ALL THE UNIVERSE
all you need now is to remove that blanket that is clouding your minds and believe in one and only God,everlasting one who was neither created nor begotten

Shukrani zote anastahili Mwenyezi Mungu,Mola wa walimwengu wote

Mwenye kuneemesha neema kubwa kubwa na Mwenye kuneemesha neema ndogondogo

Mwenye kumiliki siku ya malipo

Wewe tu ndiye tunayekuabudu, na wewe tu ndiye tunayekuomba msaada

Tuongoze njia iliyonyooka

Njia ya wale uliowaneemesha, siyo (ya wale) waliokasirikiwa, wala (ya) waliopotea

QURAN : SURATUL FAATIHAH 1-6
 
Ustaadh hii si mada ya deen. Naona una hamu na deen, hapa upo kwenye mada si yako.

Mashaallah.
 
Nilikuwa nawaleta kwenye njia iliyonyooka tu mkubwa,usiogope utamu wa hayo maneno
 
Wewe unaye ijuwa lete hapa tuione na jinsi inavyo mpinga Lenin? Blah blah huwa hazipandi kwangu. Only tangible and impeccable exhibits.

Haya lete hizo historical facts bana.
Fact ni kwamba hujaleta fact kuhusu atheism, lete fact kuhusu
atheism nitajadili.
 
Angalieni takataka hii. Wewe kama unakumbuka ulidai kuwa eti umesoma kitaab cha Lenin, au ilikuwa ndio kujaza thread?

Haha ahaha ahaha ahaha, sasa unadai facts sio facts, hivi kweli wee ulisoma hicho kitabu cha Lenin? Mbona unaonekana mtupu kabisa. Huna jipya, na unaendeleza kale katabia kako ka dismissive attitude, lol

Narudia tena:Fact ya kwanza.
Msikilize Lenin anavyosema: "Atheism is a natural and inseparable portion of Marxism, of the theory and practice of Scientific Socialism.

Sasa lete hoja?

Fact ya kwanza tu imeshaanza kukuumiza kichwa. Kaazi kweli kweli.
 
Asante mkuu.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom