Preta
JF-Expert Member
- Nov 28, 2009
- 24,323
- 18,793
Jamani wanachitchat naomba kwa dhati niseme jf imenipa nafasi ya kuongeza marafiki. Kwa siku nilizokaa Arusha kwa Kweli nimeutendea vyema muda wangu..Na kwa dhati niwaombe mikoa mingine tuige ya wale wa Arusha. These guys wako smart and generous...try them na utaniambia...I promise u guys nikipata nauli tena ntarudi Arusha.
c.c PakaJimmy, Preta,blakiwoman, Cantalisia, Filipo, Arushaone, Valentina, liverpool fc....na wengineo
narok nilikuja mkuu,..tukapeana mikono sema niliwahi kuondoka kiongozi wangu,..leo ntakuwa pale tena
Mkifika narock mnishtue[/QUOTE]
Ol_right,...........
cc:..Preta & Blackwoman
fanya uje Dr.......
Usijali kuhusu nauli ukijisikia kurudi sema tu Preta atafanya logistics zote...
Hahaaaa...we usijali kuhusu nauli,anytyme ukitumiss watu wa half london twambie turushe nauli hata kwa bluetooth. Tumefurahia uwepo wako,karibu tena na tena
kumbeee..
Karibu sana.....
Yap yap..
Usijali kuhusu nauli ukijisikia kurudi sema tu Preta atafanya logistics zote...
Husband mambo