JF Arusha Wing nimewakubali...ntarudi tena!!

Jamani wanachitchat naomba kwa dhati niseme jf imenipa nafasi ya kuongeza marafiki. Kwa siku nilizokaa Arusha kwa Kweli nimeutendea vyema muda wangu..Na kwa dhati niwaombe mikoa mingine tuige ya wale wa Arusha. These guys wako smart and generous...try them na utaniambia...I promise u guys nikipata nauli tena ntarudi Arusha.

c.c PakaJimmy, Preta,blakiwoman, Cantalisia, Filipo, Arushaone, Valentina, liverpool fc....na wengineo

Karibu tena kipindi kingine mkuu.......nasi tulifurahi kuongeza wigo wa wageni wetu waliotutembelea........natumaini sio mwisho wa kuonana.....
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom