JF Arusha Wing: Ahsanteni sana...,

Last edited by a moderator:




Karibu sana Mkuu!
 
nilitamani sana kua pamoja nanyi
ila kwa sababu zisizoweza kuzuilika
ilibidi nisiongozane nanyi! pakajimy
kondoo wako nilipotea mbona hujanitafuta lol!
love u all! arushaone Lily Flower, Mzee wa Rula, Erickb52
Filipo,na wengineo pamoja sana!

Jamani, Mimi tena?...Nilikutafuta sana ila ukawa 'Not rechable'
Asante Sisy Passion Lady japo hukuwa nasi safarini lakini ulikuwa nasi kiroho zaidi, keep it up.

Ngoja nimtetee M/Kiti alikutafuta bila mafanikio angalia kilonga longa chako utakuta several calls done by PakaJimmy.
Bora mwaya umenitetea...na kwaajili ya hilo tunahitaji kufungua Konyagi moja jioni ya leo!...nipe lokasio na pozisio!

ok my dear usijali
mi nikadhani mchungaji
kasahau kondoo wake hahha!

PJ ako makini mbaya babaake...! anakumbuka hadidu zote za rejea ati!
Vp lakini hajambo shemegi yangu?
 
Mungu awabariki sana Arusha Wing kwakweli moyo mliouonyesha hauelezeki kwa lugha zilizopo sasa.

Mungu awatie nguvu zaidi na kuwaongezea moyo huo na kubariki kazi zenu pia.

Kokutuna Mungu aendelee kukutia nguvu dada,tunakupenda pia japo hatukuweza kupata fursa ya kuja.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…