Kibanga Ampiga Mkoloni
JF-Expert Member
- Aug 9, 2007
- 19,077
- 9,240
Guyz am in town, where are u?

Lets keep in touch this evening?

Even if ur Usalama( All those who are here looking for what some one is doing) or Else please where are u?
Dogo,watafute huko wadau muende mkajibwax mitungi.
Dogo,
Tumia busara kidogo!
All you can think about is mitungi?
Kuwa na busara kidogo!...Umerudi lini toka msibani?
Karibu tena A town!
Afadhali... Mkikutana umwambie siku ingine asije kimya kimya!Duuuuh mkuu mbona umekuja kimya kimya? Sasa nakuPM tuwasiliane tuone jinsi ya kufanya.

kazi kweli kweli......mmmhhhh......

Hujui nimekumiss kiasi gani,kama nna fine atanilipia Mungu kupitia mgeni kibanga ampiga mkoloni.
We nae unashangaa nini wakati nimekupa full ishu jana wewe?...usiwe kama huyo mwenye makesi kibao WL!wacha tu......
Naona sasa tunakimbiana baada ya naniliu kunanihiino ile nanihii!

umeona eee
We nae unashangaa nini wakati nimekupa full ishu jana wewe?...usiwe kama huyo mwenye makesi kibao WL!

Naona sasa tunakimbiana baada ya naniliu kunanihiino ile nanihii!
Niambie!mimi bwana nimekasirika........