JF Arusha, Where are you this Sunday?

Niambie!
Nani kakukasirisha?
Derimto au Sahara?...Najua atakuwa Sahara, si kakupigia simu 15min. ago?

aah wapi....hajapiga cha simu wala nini.......hivi mgeni ameshajibiwa.....naona thread inachachuka bila jibu kwa mgeni

hizi takwimu umezitoa wapi mkuu?acha wivu!

babylon,tripple A,boogaloo na nilihitimisha Ubungo Bus Terminal Dar es salaam!ni muda kidogo ila ntairudia kama kuna mkoa mwingine unafanya vizuri katika hili kuliko Arusha

Hhahahaaaaaaaaaaaaaaaaa!
Wadau kimya?
So faaa nime mapata Mdau wa MZEE RULA,
Wengine wapi? Weekend leo hamna mtoko?

tathmini ya harakaharaka arusha inaongoza kuwa na wajanja washamba wengi kwahiyo usishangae mkuu ni kawaida yao!
Ushamba kuna kipindi kunafuatana na kutokujua au kufanya mambo kwa makusudi huku ukielewa ni kosa ulifanyalo! Kwa taarifa Arusha hakuna washamba kihivyo vinginevyo walikupa kitu inauma ndiyo maana unaona hawafai chali yangu aiseeee!

Dogo,

Tumia busara kidogo!

All you can think about is mitungi?

Kuwa na busara kidogo!...Umerudi lini toka msibani?

Karibu tena A town!

bado niko dsm nitakuwepo Atown juma 5. Ila kuhusu ile issue ilikuwa fresh tulienda na private car tukasafiri ucku kucha. Worry not pakaj.!

hii ndio arusha unayoijua meeen!
nyingi bab sema hizo ndo nilizichagua kufanya takwimu yangu!sema siyo kesi senator tupo pamoja!ila kiukweli kibanga mkoloni inaelekea bado sana!full kiza yaani ana zilezile za kilong tym!namjengea picha hapo atakuwa amevaa sweater moja rangi mbaya la krokoni au mchina type

Ushamba kuna kipindi kunafuatana na kutokujua au kufanya mambo kwa makusudi huku ukielewa ni kosa ulifanyalo! Kwa taarifa Arusha hakuna washamba kihivyo vinginevyo walikupa kitu inauma ndiyo maana unaona hawafai chali yangu aiseeee!
Mwambie arusha hatuuzi sura wala hatununui pia!

nyingi bab sema hizo ndo nilizichagua kufanya takwimu yangu!sema siyo kesi senator tupo pamoja!ila kiukweli kibanga mkoloni inaelekea bado sana!full kiza yaani ana zilezile za kilong tym!namjengea picha hapo atakuwa amevaa sweater moja rangi mbaya la krokoni au mchina type
the sampling was dead wrong!

msipanic sijasema arusha wote washamba ila inaongoza kuwa na washamba wengi hususani wanaume ila kwa mademu napiga salute wengi wamesimama!

Similar Discussions

Back
Top Bottom