The Finest
JF-Expert Member
- Jul 14, 2010
- 21,605
- 6,080
Huyo bwana nina kesi nae anakuja kimya kimya bila kututafuta sisi wenyeji tumpe locationumeadimika sana weye............au ndio umeanzisha mgomo.......nimekumbuka wivu utakumaliza
Huyo bwana nina kesi nae anakuja kimya kimya bila kututafuta sisi wenyeji tumpe locationumeadimika sana weye............au ndio umeanzisha mgomo.......nimekumbuka wivu utakumaliza
Hagomi mtu wala nini hapa nakaba mpaka penalt al muradi kuzuia goli halafu siyo wivu ni ma lovee ya ukweliumeadimika sana weye............au ndio umeanzisha mgomo.......nimekumbuka wivu utakumaliza
Hiyo moja ni branch ya HQ DARhivi kunakuwaga na HQ mbili?........nimeuliza tu
Hivi dogo mbona hauna heshima kwenye sehemu anapopumzikia kaka yako? Mj1 wala hajakusikia mimi na yeye daima dumu kama cuf na magamba
First come,first servedYaani wewe mgeni umeishajifanya mwenyeji mitaa yetu
Tutamuomba Founder atueleze mchakato wake aliuanzia wapi.
Weeee Preta hebu usimuwekee maneno mdomoni Teamo lol!!mbona Founder alishalimaliza hili jambo siku ile........au ulikuwa unakunywa nini chenye kuziba masikio?.......hili swala mbona hata Teamo alilikubali..... (maana hata yeye alikuwa anajua ni Dar)
Hebu malizia basi ule mlungula uliobaki kwenye mahari yaani haujamaliza halafu unajifanya mjanjaHilo nalijua, kina thomaso wanataka kutia vidole vyao kwenye makovu, ndiyo hao kina the finest.
Finest nimekumiss saaaana! Naona sahara amekupora hisa zako...
Nzuri sana,mtumishi siku hizi niko mlimani zaidi kuombea watumishi kama sahara,nina neno na ww ntakusemesha sun..Habari yake binafsi bana mtumishi mbona umekuwa adimu kiasi hicho??
Hivi Preta bado unaenda kericho?? mimi nilidhani tumekubaliana shemeji atamaliza kazi!!
hivi Preta, unakaa tu hapa hata hapo jr tu hutaki kufika? Au ndo shida ya vifodi
Preta Biggy kajibu swali lako hapa chini natumaini unajua na yeye yuko wapi, halfu siku ile si tulikubaliana kuwa Arusha ni branch ya HQ Dar
Tatizo ndugu zangu nyie sime nje nje bana...!Ila ntarudi nije nikuunge mguu, ila kutembea hadi kwa mromboo aisee vimbwisi si vitatoa damu? Lolwacha tu.....huwezi amini siku hizi ni mazoezi kwa kwenda mbele.......hakuna haja ya gym tena......fanya uje kufanya mazoezi ya lazima
Nzuri sana,mtumishi siku hizi niko mlimani zaidi kuombea watumishi kama sahara,nina neno na ww ntakusemesha sun..
Kericho is there to stay.......Kericho ni gamba gumu......la Kakakuona......si rahisi kulivua