Mwita Maranya
JF-Expert Member
- Jul 1, 2008
- 10,565
- 7,988
- Thread starter
-
- #161
Jmosi nilikuwa natafuta kondoo aliyepotea.
Kumbuka imeandikwa, (Hivi ni nani kwenu aliye na kondoo 100, akapotea mmoja asiwaache wale tisini na kenda kwenda kumtafuta yule mmoja?)
Mimi nilikua na swali kwa Sahara Voice ivi Jumamosi unajua nilifikaje nyumbani?
Aisee, ina maana Vince alikuacha, aaa too bad
Kweli wewe ni mchungaji orijino...... kwa macho yangu nimeshuhudia ukiwaacha kondoo tisini na kenda na kwenda kumfatuta 1 aliyepotea....big up mchungaji......endelea kuwa mwaminifu
Asalam alaikum BW,
Binafsi nimeanza kuwa na mashaka na huyu mtumishi, ningeomba kumfahamu kondoo aliyepotea ili nijiridhishe na kurudisha imani kwa mchungaji.
poa habari yako mgeni rasmi
nitakuonyesha ukija tena....herufi za jina lake hazipo kwenye keyboard......wiselady alimwona mchungaji kwa jicho la 3
aliyeletwa kundini hukabidhiwa watumishi wengine kama Vince kwa ajili ya uimarishwaji ilihali Mchungaji huendelea na kazi ya kuwatafuta wengine waliopotea.
poa habari yako mgeni rasmi
nitakuonyesha ukija tena....herufi za jina lake hazipo kwenye keyboard......wiselady alimwona mchungaji kwa jicho la 3
Nasikia Kimey mmemfungia room na bag lake mmeliloeka?
Mtamuua kijana, bado anahitajika na wananchi wa usalule.
Orait, kwa hiyo ameamua kufanya short time? I mean long stay distance zero?Halafu nyie vijana wa tawi la arusha, aka arusha wing, aka kipapatio cha arurha mbona mnaleta fujo sana? Tulieni then muwe mnaomba miongozo kutoka HQ pa ukwe'e daresalama.Habari yako binafsi,Kimey hajafungiwa na mtu yeyote, ameamua mwenyewe kuondoa udhia.Amechoshwa na mambo ya "long distance"!!
Mnajua nyie ni mashemeji zetu lakini?Habari yako binafsi,Kimey hajafungiwa na mtu yeyote, ameamua mwenyewe kuondoa udhia.Amechoshwa na mambo ya "long distance"!!
Kweli wewe ni mchungaji orijino..........big up mchungaji......
Vipi huo mguu mama, halafu msalimie Preta
Orait, kwa hiyo ameamua kufanya short time? I mean long stay distance zero?
Mnajua nyie ni mashemeji zetu lakini?
.
Amechoshwa na mambo ya "long distance"!!
Nitaomba Pakajimmy aingie hapa atupe mwongozo.
Fimbo ya mbali haiuwi nyoka labda utafute fimbo ndefu - by Vince
Kama fimbo ya mbali haiui nyoka bila shaka fimbo ya karibu ndo inaua!!
inaweza ikawa ndefu lakini isiue kama ni ya mbali, muhimu hapa ni kuzingatia kwamba fimbo ya karibu ndiyo inaua nyoka!!
PJ tunakusubiri kwa maelezo zaidi.
Itabidi Kimey atueleze urefu wa fimbo yake.
Sahara Voice ukimuona Derimto mwambie kama hajatoa mahari huku Dar asitie maguu kabisa vinginevyo JF HQ DAR tutamzulia kesi lol!!!