Nimefurahi kufahamu kuwa Loner ni jinsia ys she. Nimefurahi sana. Sana toka moyoni....Nikipata nauli natia timu Arusha!
Yaa unahitaji kuwa namimi karibu sana kabla hujampata huyo unayemtarajia ili ukomae.
Akija a town ataona alama za misumari ndipo ataamini hiyo lukuki.
Sina ninaye mtaraji... Poa ni ta jaribu kuwa karibu na wewe zaidi..
karibu sana Geneva of Africa.......mie binafsi nilifurahi kikundi kilitimia pole zake babu ODM
Pole babu nilikuwa naye busy mahali fulani kwa mambo ya faragha na ndiyo maaana hatukutokea na hii ni baada ya kusalitiwa na wiseladyNashukuru hakuna aliyenikamatia Lily Flower wangu.......... ningeua mtuSweetlady wa babu........... ningechinja mtu.Msindima wa ODM............ Ningatafuna mtu.
Pole babu nilikuwa naye busy mahali fulani kwa mambo ya faragha na ndiyo maaana hatukutokea na hii ni baada ya kusalitiwa na wiselady
Pole babu nilikuwa naye busy mahali fulani kwa mambo ya faragha na ndiyo maaana hatukutokea na hii ni baada ya kusalitiwa na wiselady
Daah ..., ebana mkuu, ile Bar inaitwa "The Picnc" ni noma mazee .., ipo ipo ipo!! In fact kama hujawahi kuifika tena miaka kama mbili hivi iliyopita waweza uipotee hivi sasa ukiingia uko ndani, na halafu hizo totoz sasa ni za ukweli kali kali za kufa mutu, waweza unalize mshahara ati ndani ya masaa tu!Aisee kuna baa moja ilikuwa inaitwa Picnic....... bado iko hewani? Mara ya mwisho nlipiga trupa ya kufa mtu hapo na beer za kutosha nikajikuta nachukua room mchana kweupee!
Nashukuru hakuna aliyenikamatia Lily Flower wangu.......... ningeua mtu
Hapo andika maumivu, huyo alikuwa amefichwa mahali, uliza uambiwe kiongozi.
Pole babu nilikuwa naye busy mahali fulani kwa mambo ya faragha na ndiyo maaana hatukutokea na hii ni baada ya kusalitiwa na wiselady
kabla sijasema chochote.....una kesi ya kujibu......haiwezekani aisee
Hahahaha....dah pole sana mkuu kwa kusalitiwa!!!..habari ndiyo hiyo. uwepo wenu ulihitajika sana, ila lawama zote ziende kwa Lily flower ....nanukuhuu "JF Members arusha huenda wakapoteza mwanachama mmoja au huenda akaongezeka mwanachama mmoja" - Mwita Maranya
hii ishu mmeifanya kiuchoyo mbona mie nilikuwepo maeneo hayo? Si tungejuzana tu!!
Jamani BIG UP sana kwa hili!
babu naona ungemaliza wote sasaNashukuru hakuna aliyenikamatia Lily Flower wangu.......... ningeua mtu
Sweetlady wa babu........... ningechinja mtu.
Msindima wa ODM............ Ningatafuna mtu.
Source.........?
Nadhani mngehamia FaceBook pangewafaa sana. Ili muweke na picha zenu kwa uhuru zaidi.
Ni Mtizamo tu.