JF Android and iOS app - Feb 2018 update

JF Android and iOS app - Feb 2018 update

Maxence Melo

JF Founder
JF Staff
Joined
Feb 10, 2006
Posts
4,432
Reaction score
15,847
Wakuu,

Kwa watumiaji wa Android mtakuwa mmeona app yetu tumeiondoa kwenye soko kwa muda.

Inarejea muda si mrefu na tutaomba maoni yenu ili kuboresha.

Kwa watumiaji wa Android, itakuwa na mwonekano huu:

23532b054c7c8f46bacd4752a9414d3b.jpg

Kupata recent posts from all forums, itatokea hivi:

8f56e840c7a71e990079a79b12fff5d8.jpg

Button iliyo mbele ni ya PMs zako na mwishoni ni notifications zako.

Aidha, ukichagua jukwaa (mfano la Siasa), itatokea hivi:

eec5721446345aa885687b18801368e9.jpg

Ukibonyeza button ya kuanzisha thread/topic, options za ku-upload picha/doc zitakuwa kama inavyoonekana chini:

0e8d1959f1a43084dec17443e9ffe853.jpg

Kwa wale wa iOS:

Kwa mbele kabisa katika orodha ya forums itaonekana hivi:

eb6c930199bce23cd35ca1c1166c5dc5.jpg

Kupata recent posts/discussions, itaonekana hivi:

2340f5ab72c889ebb1db5add2afd7aec.jpg

Ukibonyeza pembeni kwenye user menu, itaonekana kama hivi:

e279c6c5936f691260a50bed49024c08.jpg

Mengine hayana tofauti sana na Android.

Mabadiliko haya yatawekwa hewani muda si mrefu na pale ukikwama usisite kuwasiliana nasi
 
ipo vizur but kuna vitu muhimu mngeviongeza mfano ku-delete uzi ku-edits jina la uzi mtu akikosea, pia mtuekee Option ya kubadili ID

Hope kila mwana JF angependa kuona izo option.....

All the best ......
Yote haya hayahusiani na App, ni mfumo wa JF.

1) Option ya mtu kufuta thread: Ugumu wake ni kuwa kuna watu hucheza na akili za wenzao, mtu amepoteza muda kushiriki kwenye mjadala wako kwa kuleta hoja zilizoshiba then mtu kwakuwa anaona mawazo yamekinzana na matarajio yake anataka afute mjadala kabisa!

2) Ku-edit thread title: Ndo maana tumeweka moderators; tukiacha mtu aweze badili atakavyo title si ajabu ukakuta mjadala wa jana una title tofauti leo na hata kesho title tofauti zaidi.

3) Kuweza kubadili majina: Tuliwahi jaribu hili, matokeo yake watu walianza mizaha ya ajabu. Mtu akiona member anajiita AKIDA anapendwa, yeye ana-edit jina lake anaandika AKIDA2 au AKIDDA. Ili kuhakikisha tunakuhudumia vema, moderators wapo tayari kukusikiliza haraka na kukusaidia kubadili jina lako pindi ukitaka kufanya hivyo.

Asante
 
oky umenijibu vyema.....

All the best
 
Mkuu Melo naomba muweke kitu cha kuruhusu kubadili username kama mitandao mingine ya kijamii.

Tafadhali sana zingatieni hili.

Pia tuwe na uwezo wa kufuta comments zote tukizoshiriki au threads tulizoanzisha. Itapendeza zaidi
 
Back
Top Bottom