Jezi zilizokamatwa sio feki ni michezo ya Kariakoo, Sandaland kazidiwa maarifa

Kuna jamaa niliwasanua kuwa hii issue ipo very secrets kwa muda mrefu Tu ila kuna kajanja kawachoma na wamekinukisha sasa wahusika wamekaa pembeni wanasubir Mchezo uishe huku wakiendelea kupanga matokeo nyuma ya panzia TANZANIA ujanja ni mwingi.....

Mwambie ally kamwe huwenda alikuwa anapambana na boss wake..

Huwez elewa hii
Matajiri wa bongo 90% ni wapigaji wenye kinga na connection toka juu mpaka ndani

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mnamponda bure tu yule bibi FaizaFoxy ila kiukweli kama born town kweli huu mchezo mrahisi sana,nikuondoe hofu wa GSM kuhusika na huu mzigo,mzigo umeingizwa nchini na kampuni tosh logistic na hizo jezi zimekamatiwa kwenye godown la tosh ambayo ni kampuni pinzani na silent ocean logistic ya GSM,watoto wa mjini kwa mbali tunanusa harufu ya GSM kuwa nyuma ya kusanua hizi jezi fake ili ampoteze mshindani wake kibiashara,mwenye jezi anajulikana na cheni yake ikiwekwa hadharani ni aibu ndio hata waziri mwenyewe anajiuma uma
Huyo bibi hana anachojuwa kuhusu soko la kariakoo na wazee wa misheni town ndani yake.

Tukija kwenye sakata la jezi feki. Kwanza hili halijaanza leo wa jana hii ishi na kipindi kirefu huko nyuma jezi nyingi feki zimeshauzwa sana mtaani na mhusika wa haya yote ni huyo GSM. Mwaka 2021 kuna sakata GSM Kuhusishwa na kuuza jezi za simba feki sizani kama hili ulishawahi kulisikia ??

Hivyo hii ya juzi kuhusu jezi feki ilikuwa ni kimtia doa mshindani wake ila nyuma ya sakata GSM anahusika kwa kiasi kikubwa
 
Back
Top Bottom