Lupweko
JF-Expert Member
- Mar 26, 2009
- 25,181
- 27,361
Kumbuka mkandarasi wa jezi wa Yanga ni GCM, namna ya kubuni na kutengeneza anajua atampa kazi nani. Swali la kujiuliza, Je, GCM atakubali achome hela kwa kuwapa Nike halafu aje abebe mzigo wa kuzitafuta kwa faida kutoka kwa wamatumbi? Mkataba wa jezi wa Yanga upo tofauti na wa Yanga. Simba wana mkandarasi wa jezi, Yanga wana mdhamini wa jezi (ambaye kwa ndani ana wakandarasi). Kimsingi GCM ni dalali wa wakandarasi, ameongeza mlolongo ili akate chakeWadau hivi ni kweli kwamba Yanga walivunja mkataba na Sheria Ngowi baada ya makubaliano na kampuni ya Nike kutiki? Nikweli Nike ndiyo watatengeneza jezi msimu huu?