Tetesi: Jezi za Yanga msimu huu Kutengenezwa na Nike

Hiyo ni uongo, GSM hapo ndio anapopiga hela hawezi kutoa mkandarasi kwa Nike wala brand nyingine, unless awe dalali kama JayRutty. Jezi ya 50k, analamba over 35k na hakuna kelele hata mm siwezi kuhamisha goli kirahisi hivyo
 
Yanga walishawai kuvaa jezi zenye Nike.

Ila hawakuwa na mkataba na Nike.

Hivyo sio mara ya kwanza
Screenshot_20250801-094534_1.jpg
 
Hiyo ni uongo, GSM hapo ndio anapopiga hela hawezi kutoa mkandarasi kwa Nike wala brand nyingine, unless awe dalali kama JayRutty. Jezi ya 50k, analamba over 35k na hakuna kelele hata mm siwezi kuhamisha goli kirahisi hivyo
Basi mashabiki wa Yanga wako vizuri, jezi zinauzika sana mpaka GSM hataki kuachia tenda
 
Gsm hapo yanga pesa zote anatoa kwneye jezi hawezi iachia iyo tenda kwa nike ambao wao pia ni watengenezaji wa jezi sheria ngowi ni mbunIfu tuu ambae alikuwa anaifanyoa kazi GSm hausiki na utengenezaji wala usambazaji,

GSM ukija mtoa kwenye ilo chaka la jezi anaweza hata susia udhamini mana pesa zote za kuisaidia yanga anatoa hapo jezi 45k wao yanga wanapata 1300 tu. Nyingine zote anabeba GSM

Mapato ya yanga kwenye jezi hayafiki hata mil 100 kwa msimu hata wauze vipi wana rate kwemye 45-60M.

Kuna msimu ule jezi zilikuwa na ramani ya africa ule msimu yanga mapato yao walitangaza kwenye mkutano wao yalikuwa ni mil 45 tu.
 
Nyie mmeona 1300 tu hamfirikii gharama zingine anazo ingia kama logistics, promotion, kumlipa mbunifu na harasa kama ipo ana beba yeye
 
Sidhani kama ni Nike ila toka Simba itangaze Diadora nilijua tu Yanga haitakubali kwenda msimu mpya bila nayo kupata chata ya kimataifa. Ndiyo maana sikushangaa kusikia eti wanaachana na Sheria wakati alituambia tayari ana design za jezi za Yanga za misimu kadhaa mbele.

Watatengeneza makubaliano feki na moja ya brand kubwa ili walau hili wimbi la msimu huu la Diadora lipoe kwanza wasionekane wanyonge halafu mwakani watarudi kwenye vitenge vyao.
 
Gsm hapo yanga pesa zote anatoa kwneye jezi hawezi iachia iyo tenda kwa nike ambao wao pia ni watengenezaji wa jezi sheria ngowi ni mbunIfu tuu ambae alikuwa anaifanyoa kazi GSm hausiki na utengenezaji wala usambazaji,

GSM ukija mtoa kwenye ilo chaka la jezi anaweza hata susia udhamini mana pesa zote za kuisaidia yanga anatoa hapo jezi 45k wao yanga wanapata 1300 tu. Nyingine zote anabeba GSM

Mapato ya yanga kwenye jezi hayafiki hata mil 100 kwa msimu hata wauze vipi wana rate kwemye 45-60M.

Kuna msimu ule jezi zilikuwa na ramani ya africa ule msimu yanga mapato yao walitangaza kwenye mkutano wao yalikuwa ni mil 45 tu.
Kwanini tomu zetu haziingii mikataba na makampuni makubwa ya kutengeneza vifaa vya michezo mfano Puma, Adidas nk, yani tunashondwa ata na vitimu vidogo vya Uarabuni. Jezi kama haijatengenezwa na kampuni moja wapo kubwa basi hatutapata jezi bora kwenye Timu zetu, yani ata timu ya Taifa jezi zake zinatengenezwa na vikampuni vya Bunguruni. Timu yetu ya Taifa kwasasa inashiriki mashindano ya Kimataifa nilitarajia kuona Jezi zetu zinatengenezwa nq Nike au Adidas lakini chakushangaza jezi hazieleweki.
 
Sidhani kama ni Nike ila toka Simba itangaze Diadora nilijua tu Yanga haitakubali kwenda msimu mpya bila nayo kupata chata ya kimataifa. Ndiyo maana sikushangaa kusikia eti wanaachana na Sheria wakati alituambia tayari ana design za jezi za Yanga za misimu kadhaa mbele.

Watatengeneza makubaliano feki na moja ya brand kubwa ili walau hili wimbi la msimu huu la Diadora lipoe kwanza wasionekane wanyonge halafu mwakani watarudi kwenye vitenge vyao.
Fanya kazi lasivyo njaa itakuchanganya sana akili Kwa Kila unachokiandika yanga sio Levo yako
 
Back
Top Bottom