Jezi yangu ya Aston Villa nimpe Nani?

kavulata

JF-Expert Member
Aug 2, 2012
12,233
12,507
Aston Villa haina hadhi inayosababisha Mimi nivae jezi yake. Nilinunua jezi yake kwasababu ya kijana wetu Mbwana Samatta kuwa pale. Sasa Mbwana hayuko najisikia vibaya kuivaa ile jezi ambayo nilinunua kwa Bei kubwa.

Nani aje nimpe jezi hii aivae yeye? Sinunui ya Fenerbahce kwanza hadi kieleweke kwanza.
 
Mi hata Magufuli asajiliwe na barcelona siwezi kuhama timu kisa mwenzetu kasajiliwa
 
Ulinunua jezi ya A/Villa au ulinunua Replica Jersey mzee baba?
 
Iweke as part of memory, kama haina jina nyuma nenda ka-print kabisa 'SAMATTA' na namba yake. Siyo kila jezi lazima uvae. Mimi nina jezi ya timu yangu pendwa ya kwanza kabisa kununua siivai ipo tu kama kumbukumbu na ina miaka so kama ulikuwa na mapenzi na Samatta huna haja ya kuigawa kama shabiki.
 
Aston Villa haina hadhi inayosababisha Mimi nivae jezi yake. Nilinunua jezi yake kwasababu ya kijana wetu Mbwana Samatta kuwa pale. Sasa Mbwana hayuko najisikia vibaya kuivaa ile jezi ambayo nilinunua kwa Bei kubwa.

Nani aje nimpe jezi hii aivae yeye? Sinunui ya Fenerbahce kwanza hadi kieleweke kwanza.
Nipe mimi nitakushukuru kiongozi
 
Ulinunua jezi ya A/Villa au ulinunua Replica Jersey mzee baba?
Hahaha daah ndugu yangu aliiagiza kabisa england tena ilikua inauzwa laki na 20....sijui kama anaivaa tena huko alipo

Halafu ile jezi ilipanda thamani kwa sababu moja tu kipindi anainunua astonvilla walikua wanaenda kucheza sijui fainali ile na man city pale wembley ingekua kipindi cha mwishoni wanapambana kutoshuka daraja wasingeweza kuiza kwa bei ghali vile
 
Aston Villa haina hadhi inayosababisha Mimi nivae jezi yake. Nilinunua jezi yake kwasababu ya kijana wetu Mbwana Samatta kuwa pale. Sasa Mbwana hayuko najisikia vibaya kuivaa ile jezi ambayo nilinunua kwa Bei kubwa.

Nani aje nimpe jezi hii aivae yeye? Sinunui ya Fenerbahce kwanza hadi kieleweke kwanza.
Ulinunua ya nn mkuu.jezi za utopolo.
 
Iweke as part of memory, kama haina jina nyuma nenda ka-print kabisa 'SAMATTA' na namba yake. Siyo kila jezi lazima uvae. Mimi nina jezi ya timu yangu pendwa ya kwanza kabisa kununua siivai ipo tu kama kumbukumbu na ina miaka so kama ulikuwa na mapenzi na Samatta huna haja ya kuigawa kama shabiki.
Mmmh inategemea na timu na timu. Shabiki wa yanga anaweza kununua jezi ya Simba Kama kumbukumbu yake?
 
Hahah hiyo haiwezekani hata kwa ushabiki tu wa timu za nje wa timu zenye upinzani mkubwa. Ila kuwa na jezi ya timu unayoichukia inawezekana, unaweza kuwa na mchezaji unayempenda kwenye timu usiyoipenda ila ikitokea akakupa jezi yake huna budi kuitunza na hiyo hutokea sana kwa mashabiki wa timu za Ulaya unakuta mtu ni shabiki wa Real Madrid ila ana jezi aliyopewa na Messi.
 
Hamn mchezaj yyte wa tz atakaekwend ulay et na mm ninunue jezi ya timu hyo nyooooo ata aende kaka yangu cwez fana Uto kama huo..mm cna akili za kushikiwa kama wao
 
Tulikuwa malimbukeni bila ya kupata faida, tulifuata mkumbo.
 
Similar Discussions

1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom