Jephta2003
JF-Expert Member
- Feb 27, 2008
- 6,745
- 6,656
Kwa hili, amendment ya by law ingebid iganyike tu! Skia...
Bwana harusi matata aliyeoa mke
machachari na mrembo, walipofika
nyumbani Bwana harusi alitoa kanuni
zake za maisha yao mapya:
"Nitarudi nyumbani muda
nitakao,nahitaji kupewa ninachotaka kutoka kwako muda wowote tena bila
usumbufu,natarajia mlo wa jioni uwe
tayari kwa wakati labda kama
nitakwambia sili nyumbani siku
hiyo.nikwenda kuangalia mpira,
kucheza bao, kuvuta shisha au kucheza karata muda nitakao na marafiki zangu
wa kitambo na sihitaji usumbufu
wowote wala maswali kutoka kwako,
HIzo ndo kanuni zangu any comment?
Mkewe akajibu, "Sina komment,hilo
halina shida kwangu ila tu uelewe kwamba patafanyika TENDO LA NDOA
hapa kila saa MOJA kamili USIKU sitojali
ni mwanaume gani atakayekuwepo
muda huo"