Steven mushi mushi
JF-Expert Member
- Jul 25, 2016
- 533
- 741
- Thread starter
-
- #21
Daa umenikumbusha mbali mkuu kwenye hii movie ya slumdog millionaire yaani ni moja kati ya movie bora ya kihindi na nakumbuka hata ilishinda tuzo za Oscar kwa yule binti pia aliyecheza kwenye hii movie Freida pintoMovie nilizowahi kuangalia na nikazipenda ambazo ni bolywood ni
Pyaar hai imposible
Kuch kuchu hota hai
Slumdog milionaire
Zaid ya hapo naona hamna kitu.. Ila kwenye misongi wapo fiti,
Ha ha ha bolywood? Sitaki hta kuwasikia... Movie zina uongo mpaka unajua unadanganywa..
[emoji23] [emoji23] hamna mkuu hiyo ni typing errorStunt Master Jackie Chunga mwenyewe.
Mtoa mada inaelekea unapenda za kutafsiriwa na dj murphy maana hiyo Defender ulivyoiandika tuu.
Teh teh yaani hawa jamaa ni shidaHahaha stering anakufa na kufufuka
Aa weweee inaonekana humfahamu Jet li vizuri hebu jaribu kufuatilia kazi zake ndo uta mwelewachan mkali sana ila hilo lingine boya tu
movie za kihindi zilizohit sana ni slumdog, life of pi na my name is khan, hazijatokea tena kama hizo na kwa sasa naona wakorea wame take overDaa umenikumbusha mbali mkuu kwenye hii movie ya slumdog millionaire yaani ni moja kati ya movie bora ya kihindi na nakumbuka hata ilishinda tuzo za Oscar kwa yule binti pia aliyecheza kwenye hii movie Freida pinto
movie za kihindi zilizohit sana ni slumdog, life of pi na my name is khan, hazijatokea tena kama hizo na kwa sasa naona wakorea wame take over
ni kweli hadithi yake ya kawaida kulinganisha na my name is khan au slumdog, kilichoibeba ni location tuHii movie ya life of pie nayo ilipata tuzo ya Oscar kwenye category ya best moving picture (ili stahili) ila maudhui yake ya kawaida sana
who am i, Rush hour 1,2,3 , spy next door,Wote nawakubar jet lee movie ya Tai ch, shaolin master, romeo must die,
Jack chain drunken master, the medallion, na nyngne kibaooo