Jeshi wee muacheni apumue ajiuzulu, kwani nani alimchagua!

Ati amiri jeshi. Hehehehe. Uliona wapi Amir anaua watu wake. Heheheh. Sasa aogopa watu. Hajui nani amuamini. Hehehe walahi hii kali. Jeshi lajizima mnala naye ajua. Yeye si amir jeshi sasa itajulikana ni jeshi lipi yeye asiogope. Huyo hata akijiuzulu haisaidiii walahi.
Rafiki yangu wa Siku nyingi nilikuambia mapema. Huyo Mzazi mwenzio ni mroho wa madalaka. Wee wajiingiza kichwa. Wooi. Na bado
Screenshot_20251219-132538~2.png
 
Kaacha kujiuzuru wakati nyumbu mnafanya uhalifu ndo ajiuzuru leo wakati nyumbu mmeshashikishwa adabu?

Na bado
Unamteteaje mtu ambaye hujui alipo? Una uhakika kuwa yupo nchi na hajatorokea Burundi, Uganda, Msumbiji na au UAE?
Huyu mtu hayupo Tanzania siku nyingi.
 
Ati amiri jeshi. Hehehehe. Uliona wapi Amir anaua watu wake. Heheheh. Sasa aogopa watu. Hajui nani amuamini. Hehehe walahi hii kali. Jeshi lajizima mnala naye ajua. Yeye si amir jeshi sasa itajulikana ni jeshi lipi yeye asiogope. Huyo hata akijiuzulu haisaidiii walahi.
Rafiki yangu wa Siku nyingi nilikuambia mapema. Huyo Mzazi mwenzio ni mroho wa madalaka. Wee wajiingiza kichwa. Wooi. Na bado
Kumbe wewe ni swahiba wa Jakaya Kivuruge mzazi mwenziwe wa Bimsumi?
 
Ati amiri jeshi. Hehehehe. Uliona wapi Amir anaua watu wake. Heheheh. Sasa aogopa watu. Hajui nani amuamini. Hehehe walahi hii kali. Jeshi lajizima mnala naye ajua. Yeye si amir jeshi sasa itajulikana ni jeshi lipi yeye asiogope. Huyo hata akijiuzulu haisaidiii walahi.
Rafiki yangu wa Siku nyingi nilikuambia mapema. Huyo Mzazi mwenzio ni mroho wa madalaka. Wee wajiingiza kichwa. Wooi. Na bado

Ulikuwa na wazo zuri ila uandishi wa KICHOKO NA MTU ALIYEBAGAZWA UBONGO.
 
Ati amiri jeshi. Hehehehe. Uliona wapi Amir anaua watu wake. Heheheh. Sasa aogopa watu. Hajui nani amuamini. Hehehe walahi hii kali.

Jeshi lajizima mnala naye ajua. Yeye si amir jeshi sasa itajulikana ni jeshi lipi yeye asiogope. Huyo hata akijiuzulu haisaidiii walahi.

Rafiki yangu wa Siku nyingi nilikuambia mapema. Huyo Mzazi mwenzio ni mroho wa madalaka. Wee wajiingiza kichwa. Wooi. Na bado
Jeshi liko pamoja sana na Amiri jeshi mkuu 90% na yupo had 2030
 
Naona Askofu wa kupiga press kama siyo 'counter pressing' kaibuka madhabahuni.
Anatamba Sasa atakuwepo kila Jumapili.
Tujuze kuhusu ujasiri ule, usalama wake kajihakikishia vipi?
Hisia zangu,
Nahisi kaingia kwenye maridhiano kimya kimya, sitashangaa akipewa Ubalozi au ubunge
Je akija kupewa unaibu waziri wa viwanda na biashara, bia 🍻 🍺 🍻 kule anashughulikie ataridhia?
 
Naona Askofu wa kupiga press kama siyo 'counter pressing' kaibuka madhabahuni.
Anatamba Sasa atakuwepo kila Jumapili.
Tujuze kuhusu ujasiri ule, usalama wake kajihakikishia vipi?
sasa we km unamuuliza nani? Si ukamguse ili ujihakikishie mwenyewe??
 
SOKWE NISIKILIZE SOKWE, MADULO ALIKUA NA MACHAWA, KATEKWA KIMYA ,HUSIKII NYWI NYWI, NAWE SIKU ZAKO ZAJA CHAWA SOKWE, TUTAKUKUMBUSHA UJITOKEZE USIKAE PEMBENI SHEIKH MZIGO WENU HUU
Maduro alikuwa na machawa konki, na masiraha na madege ya kisasa lakini kimemlamba
 
Back
Top Bottom