makwagejo
JF-Expert Member
- Nov 25, 2019
- 361
- 267
Jamani hivi hii sheria ya kutoza fedha 60,000/- kwa mwaka kila nyumba ya kulala wageni mkoa wa Simiyu ni haki? Ofisi ya biashara tunatoa 10% kila mwezi bado tunalipa TRA 250,000/- ambayo ni makadilio ya hovyo sana. Leo tunaletewa zima moto 60,000/- kwa mwaka jamani, hii ni haki?
hapo ujalipa mfanyakazi,ujalipa maji,ujalipa umeme bado uchakavu wa vitanda na shuka, bado hujavuta choo,jamani hii ni serikali kweli?
Hii inafanyika Simiyu - haswa Maswa hapo hebu mtuambie hiyo zima moto nyumba ikiungua mnalipa? Maana mnatisha watu kupeleka mahakamani,