Jeshi la wananchi Egypt lampindua Rais Morsi

Jeshi la wananchi Egypt lampindua Rais Morsi

palalisote

JF-Expert Member
Joined
Aug 4, 2010
Posts
8,335
Reaction score
1,462
>>>JESHI TAYARI LIMEPINDUA NCHI

The Egyptian army has announced fresh presidential and parliamentary elections after ousting Mohamed Morsi from power.

In an address to the divided nation, commander of the armed forces, Abdul Fatah Khalil al Sisi, said Mr Morsi had failed to meet the demands of the Egyptian people.

Live by aljazeera, president Mohamed morsi has been overthrown and constitution provisionally suspended. The country's chief justice will lead an interim government and organise elections in the next twelve months. Army responding to people's demand. New kind of coup deta in Africa!

>>>>"
Tanks were moving on the October 6 Nile Bridge in the heart of Cairo Wednesday, July 3, shortly after President Mohamed Morsi was removed from his palace and taken to a military base. Muslim Brotherhood leaders are also believed under arrest. Security travel bans have been issued against Brotherhood leaders. Sources in Cairo report that they will be tried for "crimes" committed during their year in office. A formal announcement is awaited by the military council after President Morsi and his government refused to stand down in response to the defense minister's ultimatum Wednesday, July 3. The generals have taken over the state television newsroom and are monitoring content. No clashes are so far reported between the rival demonstrators of Morsi's supporters and opponents packing central Cairo"

Muda wa saa 48 ndiyo umekwisa jeshi limetwaa kituo cha tv cha taifa . Habari za uhakika ni kuwa jeshi litaunda serikali ya mpito kwa miezi 12.

Bunge litavunjwa pamoja na kuifuta rasimu ya katiba iliyopitishwa. Uchaguzi wa wabunge na nyinginezo zitafanywa katika kipindi cha miezi 12 ijayo.

>>>>> UPDATES>>>>

>>>A military coup is underway in Egypt, according to President Mohamed Morsi's national security adviser"

>>> jeshi kwa sasa linaelekea kuzingira ofisi za umma.

>>> Raisi Morsi pamoja na maafisa wa juu wa chama cha muslim brotherhood wamezuiwa na jeshi kusafiri nje ya nchi kuanzia sasa.

>>>> watangazaji wa tv ya taifa wameamriwa na jeshi kurudi makwao . Kwa sasa maafisa wa jeshi ndiyo wanaendesha TV ya taifa.

>>>> Morsi asarimu amri na kusema yupo tayari kuunda serikali ya umoja wa kitaifa (bila kujiuzuru) lakini jeshi limemtolea nje kuwa muda wa kufanya hivyo ulishapita.

>>>>>> Tayari vifaru vya kijeshi vimeanza kuingia mtaani

BOQwFMVCAAYO3xt.jpg

>>> Hundreds of Egyptian soldiers, together with armored vehicles, are taking part in a military parade on the road near presidential palace, a witness told Reuters.

BOQzp4XCUAAuV_Z.jpg:large

BOQ2UsnCMAEWxMH.jpg

BOQwPHQCYAAI4os.jpg:large

BOQ5HU_CYAAmUEv.jpg:large
 
That was obvious,jamaa alishaonja utamu wa presidential palace akajisahau,ndo demokrasi ilivyo,sio kuchaguliwa ni one thing na kuimplete the pledges is another thing,anyway pole morsi the world is never fair bwana
 
Kuichukua tv ya taifa haitoshi...yaani napiga picha JWTZ ikaichukue TBC...its too low..wakaichukue white houce kabisa na yule MORSI wamuweke under arrest...hapo itakuwa pouwa sana
 
hata kwetu inafaa iwe hivo
tatizo jeshi limekuwa mali ya CCM badala ya kuwa mali ya umma.
Mkuu wa majeshi tanzania upo?
ona wenzio wanavojua kazi zao bila kujikomba komba kwa rais..
 
Kuichukua tv ya taifa haitoshi...yaani napiga picha JWTZ ikaichukue TBC...its too low..wakaichukue white houce kabisa na yule MORSI wamuweke under arrest...hapo itakuwa pouwa sana

Wameanza kwa kuikamata kwanza tv ya taifa ili waitumie kuutangazia umma wa wamisri juu ya utekelezaji wa maamuzi yao ya kuchukua uongozi wa nchi baada ya raisi morsi kujifanya kichwa ngumu. Kuichukua "white house" ya misri ni suala jepesi sana wala halitawahitaji kufikiria mara mbili.
 
muda mchache ulipita Morsi amegoma kujiuzuri na anasema yupo tayari kufa lakini siyo kuondoka madarakani kwani yupo hapo kihalali. wakati huohuo jeshi linafanya kikao chake cha mwisho muda huu kabla ya kutangaza road map.
 
Wameanza kwa kuikamata kwanza tv ya taifa ili waitumie kuutangazia umma wa wamisri juu ya utekelezaji wa maamuzi yao ya kuchukua uongozi wa nchi baada ya raisi morsi kujifanya kichwa ngumu. Kuichukua "white house" ya misri ni suala jepesi sana wala halitawahitaji kufikiria mara mbili.

Kweli mkuu,

Kama CDF akishatangaza kwamba nchi iko chini yake, si inabidi Morsi aende kwake kwa mguu, maana walinzi wote wanamsikiliza CDF.
 
Muda wa saa 48 ndiyo umekwisa jeshi limetwaa kituo cha tv cha taifa . Habari za uhakika ni kuwa jeshi litaunda serikali ya mpito kwa miezi 12.

Bunge litavunjwa pamoja na kuifuta rasimu ya katiba iliyopitishwa. Uchaguzi wa wabunge na nyinginezo zitafanywa katika kipindi cha miezi 12 ijayo.
Si waliuondosha utawala uliopita kwa mbwembwe sasa kuna nini tena..!! na huyu hawamtaki na anaekuja hawatamtaka.. hadi kiama kitasimama.. ------..
 
I kind of like this,

mwenye kufahamu namna hii inavyofanya kazi atuhabarishe. Naamini katiba yao ina sehemu inayozungumzia jukumu la jeshi inapotokea mvutano wa kisiasa au mgogoro kati ya watawala na wananchi. Kuchaguliwa kuongeza au kupewa dhamana ya uongozi ni kama kuingia mkataba na waliokuchagua and in this regard ni wananchi.

I kind of love hatua wanazochukua wamisri. Jamaa morsi alijifanya hamnazo na sasa yamemkuta
 
Si waliuondosha utawala uliopita kwa mbwembwe sasa kuna nini tena..!! na huyu hawamtaki na anaekuja hawatamtaka.. hadi kiama kitasimama.. ------..
Ni maamuzi ya Umma wa Wamisri, wewe endelea na ukondoo wako na nyinyiemu yako.
 
we muarabu mmarekani anahusika je na democrasia Ya masri?
 
Egyptian troops with armored vehicles have secured the central Cairo studios of state television on Wednesday, security sources said.

As a deadline approaches when the army high command is expected to step in and reorder Egypt's political institutions, the sources said staff not involved in working on live broadcasts had left the building.

Read more: Egyptian army secures state TV studios: sources | Reuters
 
Hapo ndio muujue U,honeythi wa Mmarekani.

marekani jana walikua agaisnt jeshi la misri kuchukua madaraka na walilionya jeshi la misri kutofanya hivyo lakini jeshi la misri lilikataa naona muvi nyingine kama ya syria iko mbioni hapo.
 
Back
Top Bottom