Oh no! Kuna kitu hakipo sawa... This is US Marine official account huko Twitter. Kwa maelezo hayo inaonekana wamejazana wengi sana jeshini kiasi wanapewa heshima kwa "services" iliyotukuka he he he!

View attachment 2248351

May the Almighty bless Russia and all people over the world who stand with Russia to fight against Hegemony ya hawa Ngedere.

Inaboa hasa huu mwezi Twitter huko utafikiri wanaazimisha sherehe za Uhuru. Kila Ukiperuzi Tweets kadha wa kadha unapishana nao...
Kwanini unatumia majukwaa ya US

Nilifikiri ungeenda kwenye majukwaa na apps za kirusi.. yani nyie ruken binukeni ila bado hamuwezi kusimama wenyewe.

Na wakiamua kuwakomesha wanaweka upinde kwenye timeline afu tuone sasa
 
Ili iwe balanced story Pia Weka sambamba na hasara aliyokwishapata ukraine.
Aweke au abalance vitu ambavyo havipo. Urusi wanaharibu majengo
, barabara madaraja na Miundombinu ya Umeme na Maji tu. Hii Urusi kapigwa 3 bila.
 
mmmh
Screenshot_20220602-222248.jpg


Sent from my SM-G935F using JamiiForums mobile app
 
inshu sio kumpa vislaha vya enzi za ujima tunataka nato wakiongozwa na baba yao America watie maguu kwenye uwanja wa vita kama walivyofanya Iraq, Libya , Afghanstan na pale kosovo, hapo ndio tutajua Putin anapigana na wanume, ila kwa sasa kwa hizi ngojera wanazoleta watabaki kua ni kikund kinachounda umoja wa machoko against mwamba Putin
Kwani yeye Putin aliingia mazima kwenye vita ya USA dhidi ya Iraq, au aliingia kupitia mlango wa nyuma (kama anavyofanya leo USA kwa Ukraine)?
 
Mmekimbilia huku tunawafuata.Tayari majeshi ya Ukraine yamekimbia DONBAS . Hiyo ni operation tu. Tayari Russia keshabomomoa njia ya treni ya ardhini zinakopitishiwa silaha za NATO sasa wanaziona from Washington.

Makombora yaliyosadikiwa yatanisaidia Ukraine kubadili upepo katika themanini yamebaki nane .Kama hujui nguvu za Russia kaa kando usishabikie losers.
 
Putin mwezi march alikiri kupoteza askar 1,500. Najua hii figure sio ya kweli, na hata hiyo alotoa Ukraine sio ya kweli. Ila ninachofahamu ni hiki, Russia aliingiza zaidi ya askari 150,000 ktk hii operation, walipofika kyiv kikosi kizima kilirudi nyuma kwa kasi ya ajabu mno. Askari 1,500 ni aslimia 1 tu ya kikosi kilichoingia ktk hii operation, sasa asilimia 1 ndo ikufanye urudi nyuma kwa kasi? Hapo ndipo naamini Russia ilipoteza askari wengi saana kiasi ikaona tishio, ikaamua irudi nyuma tu.
Kwa hiyo unaamini figa ipi?
 
Vita siyo lele mama,hebu chukua mfano huu,yaani wewe unaamua kwenda kumpiga jirani yako aliyekukosea,unamfuata ndani yanyumba yake unaanza kumpiga mbele ya mke na watoto, nakuambia kwamba huyo jamaa hata angekuwa dhaifu kiasi gani lazima akutoe kiungo kimoja,kama siyo jicho basi hata korodani zako zinakuwa halali yake,hicho ndicho kinachompata Russia kwa sasa,maafa aliyoyapata wanaompenda Russia wanajifariji kwa kusema eti ni propaganda za NATO,ila mimi Rodwell mTz nawaambieni,mda utaongea,Kila kitu kitakuwa wazi chini ya jua.
 
Shauri yake, mpaka mwisho wa mwezi huu ya June zaidi ya 50% ya ardhi ya Ukraine itakua mikononi mwa Russia.
And then Ukraine will turn into another Afghanistan for Russia. It wont be easy for Russia to keep Ukraine. The fact is in the modern world, this war hurts Russia much as it hurts Ukraine
 
⚔️⚔️⚔️The head of the Kherson region said that Russian power in the Kherson region was established forever.
3 days ago, the process of issuing Russian passports has already begun in the region. The integration of the region is likely to pass through a direct referendum on the reunification of the Kherson region with Russia⚔️⚔️⚔️
 
Ukrainian Su 25 shot down over Russian held territory. Confirmed by Ukrainian trident symbol on wreckage by on the ground US reporter. It appears this plane was shot down some time ago before Ukraine retreated from this area.
 
Back
Top Bottom