Jeshi la polisi, shame on you!!

Jeshi la polisi, shame on you!!

Hii siyo sawa kabisa.

Inaenda kukaribia miezi sita sasa tokea Tundu Lissu anusurike katika shambulizi la kutaka kumuua.

Tukio lilitokea mchana kweupe, tena kwenye makazi ya viongozi waandamizi wa bunge na serikali.

Cha ajabu kabisa [at least kwangu mimi], hakuna hata updates kutoka kwa jeshi la polisi kuhusu huo uchunguzi umefikia wapi.

Hata kutaja person of interest hakuna! Kutaka suspect hakuna!

Sasa watu tuwafikirieje hao polisi?

Au ni mimi tu ambaye sijui kuwa wanatoa updates?

Huu ukimya wa polisi unatoa uhalali kwa tuhuma za uhusikaji wa serikali katika zoezi zima.

Ajabu kabisa!!!
Msukuma mwenzio ndio yuko behind the scene
 
Uncle Faru amekunyima ukurugenzi umeshaanza kupanick!
 
Tatizo liko hapo ...hii kutaka mambo yapite kirahisi ndio pia yanayowafanya mumshangilie JK kirahisi na kusahau mapito yote ...mmefanya JPM anahisi mtamkumbuka tu maana mlijiapiza uadui kwa JK pia .....mnashangilia michango ya kina Bashe bungeni huku mnasahau kuwa ukija uchaguzi CCM wanaongea lugha moja ....mkianza kuwajibishana ndani kwa makosa ya kipuuzi kama yale ambayo mwenyekiti alijiapiza ndio mtaweza kuwa na ujasiri wa kupambana na CCM ....Leo ndani wote mnamuogopa Mbowe ....alafu mnataka ujasiri kwa JPM!!! ....Tuache kudanganyana ...tuanze kuambizana ukweli ili kila anayeamua kusimama na mageuzi awe amejikana kwelikweli ....
Tatizo lako ni Mbowe lakini tatizo la wengi hapa ni utawala wa sheria. Siyo JK au JPM tu yeyote ambaye atakuwa mtawala atoke CCM au Chadema. Do the right thing, Utawala wa sheria bila kuvunja katiba
 
Thread nyingine zimekaa kichokozi sana. Hapo unawachokoza tu polisi, wachunguze kitu gani wakati wanajua au unataka uchunguzi wao wa kuweka record sawa tu za mambo yao ndani ya jeshi ndo wakutangazie wewe raia.
 
Kuna vitu vya kuiga lkn sio ujinga kama huu, narudia tena tuige mazuri haya mengine tuwaachie wenyewe
Kuna takataka zingine humu JF usijibu! Anasema madogo akiuawa baba , mama, mke au mtoto wake atasema madogo? Takataka zingine achana nazo. Humu JF kama ni junk site to some extent kwa sababu ya anonymity, jitu lolote linaweza kuandika lolote! Kwenye open newspaper mtu hataandika hivi maana anaogopa credibility yake ( if at all he is credible) itaharibika
 
Cdm hawana imani na jeshi la polisi na sidhani kama watakuwa nayo kwa mwenendo huu. Hivi kama Lissu na dereva wangekufa uchunguzi usingefanyika? Kwahiyo rais anaongopea umma uchunguzi wa yule binti wa juzi ufanyike wakati hakuna wa kumuhoji? Kuwa na aibu dogo.
Inavyoonekana ukiwa mpinzani mwenye nguvu nchi hii automatically unakuwa mhalifu, na unapewa hukumu za namna nyingine tofauti na sheria za nchi zilizowekwa.
Natamani watu waanze kusoma vitabu vya 1930s huko labda watapata maarifa, maana elimu ya sasa ni kama haisaidii sana.
 
Tatizo liko hapo ...hii kutaka mambo yapite kirahisi ndio pia yanayowafanya mumshangilie JK kirahisi na kusahau mapito yote ...mmefanya JPM anahisi mtamkumbuka tu maana mlijiapiza uadui kwa JK pia .....mnashangilia michango ya kina Bashe bungeni huku mnasahau kuwa ukija uchaguzi CCM wanaongea lugha moja ....mkianza kuwajibishana ndani kwa makosa ya kipuuzi kama yale ambayo mwenyekiti alijiapiza ndio mtaweza kuwa na ujasiri wa kupambana na CCM ....Leo ndani wote mnamuogopa Mbowe ....alafu mnataka ujasiri kwa JPM!!! ....Tuache kudanganyana ...tuanze kuambizana ukweli ili kila anayeamua kusimama na mageuzi awe amejikana kwelikweli ....

..KIBURI cha chadema kutokusikiliza ushauri nakumbuka kilianza tangu wakati Dr.Slaa akiwa Katibu Mkuu.

..Utakumbuka majibu yao, "...hajafanya utafiti..."

..Wakati mwingine ni bora kuwaacha wajifunze the hard way.

..Kuhusu wana-ccm kama Hussein Bashe siyo vibaya kuwaunga mkono ikiwa watayasemea mambo ambayo chadema inayaamini.

..Ukumbuke kwamba ktk awamu hii it takes some courage kwa mwana-ccm kutamka hadharani kwamba anakubaliana na msimamo wa chadema ktk jambo lolote.

MWISHO, nakubaliana na wewe kwamba chadema hawapaswi kusahau unyama waliofanyiwa wanachama wao ktk awamu zilizopita, ikiwemo awamu ya Kikwete.
 
Back
Top Bottom