fokonola bokoyoka
JF-Expert Member
- Feb 13, 2015
- 965
- 640
Unaipenda lakini haipendeki, mwenyewe imeanza kukushinda.
Thubutu yake !!..kama Polisi wanaamini TL hana imani nao basi wanapaswa kushirikisha wapelelezi toka nje ya nchi ambao kila upande utakuwa na imani nao.
.
Wewe utakuwa unamjua mhusika, utaisaidia polisi.Hii siyo sawa kabisa.
Inaenda kukaribia miezi sita sasa tokea Tundu Lissu anusurike katika shambulizi la kutaka kumuua.
Tukio lilitokea mchana kweupe, tena kwenye makazi ya viongozi waandamizi wa bunge na serikali.
Cha ajabu kabisa [at least kwangu mimi], hakuna hata updates kutoka kwa jeshi la polisi kuhusu huo uchunguzi umefikia wapi.
Hata kutaja personof interest hakuna! Kutaka suspecthakuna!
Sasa watu tuwafikirieje hao polisi?
Au ni mimi tu ambaye sijui kuwa wanatoa updates?
Huu ukimya wa polisi unatoa uhalali kwa tuhuma za uhusikaji wa serikali katika zoezi zima.
Ajabu kabisa!!!
Hayo mashambulio na mauaji mbona ni vitu dogo na vya kawaida tu!!
Hata Ulaya na America mambo haya yanatokea sana. So tusiyakuze kiviile...
Hii siyo sawa kabisa.
Inaenda kukaribia miezi sita sasa tokea Tundu Lissu anusurike katika shambulizi la kutaka kumuua.
Tukio lilitokea mchana kweupe, tena kwenye makazi ya viongozi waandamizi wa bunge na serikali.
Cha ajabu kabisa [at least kwangu mimi], hakuna hata updates kutoka kwa jeshi la polisi kuhusu huo uchunguzi umefikia wapi.
Hata kutaja personof interest hakuna! Kutaka suspecthakuna!
Sasa watu tuwafikirieje hao polisi?
Au ni mimi tu ambaye sijui kuwa wanatoa updates?
Huu ukimya wa polisi unatoa uhalali kwa tuhuma za uhusikaji wa serikali katika zoezi zima.
Ajabu kabisa!!!
😀😀😀😀😀Hayo mashambulio na mauaji mbona ni vitu dogo na vya kawaida tu!!
Hata Ulaya na America mambo haya yanatokea sana. So tusiyakuze kiviile...
...Pimbi kweli weweHayo mashambulio na mauaji mbona ni vitu dogo na vya kawaida tu!!
Hata Ulaya na America mambo haya yanatokea sana. So tusiyakuze kiviile...
yakikupata ww utanyamaza?Hayo mashambulio na mauaji mbona ni vitu dogo na vya kawaida tu!!
Hata Ulaya na America mambo haya yanatokea sana. So tusiyakuze kiviile...
Mkuu ndio maana wakati wabunge wa Chadema wanamshangilia Kikwete wengine tulishangaa mno!!! Unajua upinzani haujielewi na mbaya zaidi watu kama nyie ambao ni great thinker mmeamua kuwaunga mkono tuuuu hata pale wanapohitaji kukosolewa! Ndio maana sasa tunakula fimbo bila huruma na hatuwezi hata kuvuta nguvu ya umma against it ....very very bitter truth ambayo hamtaki tuseme ....tuna kazi ya kujipanga upya ...
Tatizo liko hapo ...hii kutaka mambo yapite kirahisi ndio pia yanayowafanya mumshangilie JK kirahisi na kusahau mapito yote ...mmefanya JPM anahisi mtamkumbuka tu maana mlijiapiza uadui kwa JK pia .....mnashangilia michango ya kina Bashe bungeni huku mnasahau kuwa ukija uchaguzi CCM wanaongea lugha moja ....mkianza kuwajibishana ndani kwa makosa ya kipuuzi kama yale ambayo mwenyekiti alijiapiza ndio mtaweza kuwa na ujasiri wa kupambana na CCM ....Leo ndani wote mnamuogopa Mbowe ....alafu mnataka ujasiri kwa JPM!!! ....Tuache kudanganyana ...tuanze kuambizana ukweli ili kila anayeamua kusimama na mageuzi awe amejikana kwelikweli ......ni kweli cdm walikosea mahesabu na kumsimamisha Lowassa kama mgombea wao.
..yuko aliyewaaminisha kwamba hawezi kushinda ikiwa kampeni na mgombea wao watajikita kwenye hoja ya ufisadi.
..sasa hayo yameshapita hatuwezi kulilia maziwa yaliyokwisha mwagika.
..chama inabidi kijipange upya. Kinatakiwa kiibue hoja mpya ambazo wataweza kuzisimamia mpaka wakati wa uchaguzi na ikiwezekana beyond that.
..Hata ccm wana survive kwa mambo mengi, lakini moja wapo ni uwezo wao wa kubadilika kulingana na mazingira.
..Wakati wa Mwalimu Nyerere ccm walikuwa wakihubiri "ujamaa na kujitegemea." Sasa hivi wanahubiri " hapa kazi tu. " kwa hiyo utaona wanabadilika kila baada ya kipindi fulani.
..sasa cdm nao inabidi wabadilike kulingana na mazingira na matarajio ya waTz wa sasa hivi.
NB.
..Kuhusu matukio ya kikatili dhidi ya wanachama wao ni kweli cdm wana wajibu wa kupaza sauti kubwa zaidi.
..wapo wanachama wengi wameumizwa na sasa imehamia kwa viongozi wa chadema.
..chama kinapaswa kuwasemee na wale ambao wameumizwa lakini kwasababu majina yao siyo makubwa taarifa zao hazijulikani.
naona umeamua kua kama kigwangala.unajamba nakuwahi kuwasha feni chap
waziri Kigwangala akijamba ofisini mgeni akaingia ghafla anawasha feni na kusimama akijifanya anapanga panga mafaili
au anamfata mgeni mlangoni
mange kimambi sio wa mchezoMimi hili nimewahi liona siku nyingi sana. Watu wengi tuliowapa dhamana ya uongozi ni vilaza kabisa. Creativity hawana. Wengi wanazidiwa na makonda, ukiweka kando tuhuma zake za ovyo ovyoUtendaji wetu [kwenye karibu kila nyanja] ni mbovu sana.
Anaitwa “Macho Man”naona umeamua kua kama kigwangala.unajamba nakuwahi kuwasha feni chap