Jeshi la polisi, shame on you!!

Jeshi la polisi, shame on you!!

Kuna vitu vya kuiga lkn sio ujinga kama huu, narudia tena tuige mazuri haya mengine tuwaachie wenyewe
Mleta mada ameleta ili kuwa
Ingekuwa hivyo Marekani na Uingereza kila baada ya miaka minne wana recruit wafanyakazi wapya wenye uanachama wa chama tawala kwa wakati huo.

choresheni tu, hivyo inabidi kwenda naye vile atakavyo. Amesha jamba na sasa anawasha feni
 
Mkuu tuseme ukweli kama Chadema tayari wameshaituhumu serikali na polisi pia hata wanapotaka kuwahoji key witness akiwemo Lissu na dereva wake wanaleta mizengwe unategemea nini hapo? Hata ningekuwa mimi sifanyi chochote si huna imani na mimi?? Lissu na Chadema hawanaimani na Polisi ndiyo maana hawatoi ushirikiano sasa watoe update ipi??

Cdm hawana imani na jeshi la polisi na sidhani kama watakuwa nayo kwa mwenendo huu. Hivi kama Lissu na dereva wangekufa uchunguzi usingefanyika? Kwahiyo rais anaongopea umma uchunguzi wa yule binti wa juzi ufanyike wakati hakuna wa kumuhoji? Kuwa na aibu dogo.
 
Hayo mashambulio na mauaji mbona ni vitu dogo na vya kawaida tu!!
Hata Ulaya na America mambo haya yanatokea sana. So tusiyakuze kiviile...

Ni vidogo kwa kauli yako. Vipi kama ingetokea kwa mzazi wako mmoja ungali mdogo au kingempata mmoja wa wanao au mkeo au mwanafamilia!! Will you keep that statement?

Hata kwa muaji mwenyewe sio jambo kuondoa uhai wa mtu, mbaya zaidi akabaki akishuhudia mateso na machungu wanayoachiwa wategemezi wa marehemu.
 
Hii siyo sawa kabisa.

Inaenda kukaribia miezi sita sasa tokea Tundu Lissu anusurike katika shambulizi la kutaka kumuua.

Tukio lilitokea mchana kweupe, tena kwenye makazi ya viongozi waandamizi wa bunge na serikali.

Cha ajabu kabisa [at least kwangu mimi], hakuna hata updates kutoka kwa jeshi la polisi kuhusu huo uchunguzi umefikia wapi.

Hata kutaja person of interest hakuna! Kutaka suspect hakuna!

Sasa watu tuwafikirieje hao polisi?

Au ni mimi tu ambaye sijui kuwa wanatoa updates?

Huu ukimya wa polisi unatoa uhalali kwa tuhuma za uhusikaji wa serikali katika zoezi zima.

Ajabu kabisa!!!
Kiukweli hii haikubaliki ...mbaya zaidi mauaji ya kisiasa yanaendelea na yote hakuna taarifa za maana nini kinatokea!!! What is this???? We are not fool!!!
 
Endelea kusubiri utapata updates siku si nyingi. Tena matokeo ya uchunguzi wa tukio la kushambuliwa kwa Lissu yatatangazwa na Amiri Jeshi Mkuu wenyewe na matangazo yatakuwa mubashara kutokea viwanja vya ikulu.
Zungu Pule,Mmh!.kazi ipo
 
KWANZA RISASI ZAO WAKIPIGA HUWA ZINAENDEGA JUU TU
 
Kila muuaji lazima naye afe ama auawe the same way alivyoua.

Jifunze kwa wawindaji, wengi hufia mazingira ya uwindaji.
 
Mkuu tuseme ukweli kama Chadema tayari wameshaituhumu serikali na polisi pia hata wanapotaka kuwahoji key witness akiwemo Lissu na dereva wake wanaleta mizengwe unategemea nini hapo? Hata ningekuwa mimi sifanyi chochote si huna imani na mimi?? Lissu na Chadema hawanaimani na Polisi ndiyo maana hawatoi ushirikiano sasa watoe update ipi??
Jukumu la Polisi na wajibu wao katika hili swala si kwa Chadema bali TAIFA.
 
Kiukweli hii haikubaliki ...mbaya zaidi mauaji ya kisiasa yanaendelea na yote hakuna taarifa za maana nini kinatokea!!! What is this???? We are not fool!!!

Kwa ukimya uliopo watu wana haki zote za kuunyooshea kidole utawala wa Magufuli kuwa ndo wahusika!
 
Kiukweli hii haikubaliki ...mbaya zaidi mauaji ya kisiasa yanaendelea na yote hakuna taarifa za maana nini kinatokea!!! What is this???? We are not fool!!!

..nchi inanyooshwa.

..wapinzani wanabatizwa kwa moto.
 
..kama Polisi wanaamini TL hana imani nao basi wanapaswa kushirikisha wapelelezi toka nje ya nchi ambao kila upande utakuwa na imani nao.

.
Jukumu la Polisi sio kutimiza imani ya Tundu Lissu bali kutekeleza wajibu wao kwa TAIFA.
 
..kama Polisi wanaamini TL hana imani nao basi wanapaswa kushirikisha wapelelezi toka nje ya nchi ambao kila upande utakuwa na imani nao.

.
Mkuu Lissu ni kidampa tu hana chochote pia msaliti wa nchi hii. Yaani watumie kodi zetu kuleta wapelelezi toka nje. Ikiwa hivyo hata mimi nitaandamana kupinga ujio wa wapelelezi toka nje!!
 
Tundu Lissu,
Ben Saanane
Azory
Kiongozi wa CHADEMA kinondoni etc

No updates, wala hakuna wa kukemea, kimyaaaa kama vile waliopigwa risasi, kupotea au kufa ni wanyama

Leo wamesema yule diwani aliyeuawa ni visasi tu maana iliwahi kutokea ishu kama hiyo awali (shame), unafanyaje simple conclusion kwa mambo mazito kama hayo??????

What i know, karma is a bitch!!! Haijalishi muda
 
..nchi inanyooshwa.

..wapinzani wanabatizwa kwa moto.
Wapinzani walishajinyonga wenyewe 2015 nashangaa why this kipindi hiki ambacho CCM walikuwa walau na hoja za kusimama nazo! Vitu vingine havielezeki kama huna ushabiki wa vyama na unahitaji majibu ...
 
Mkuu Lissu ni kidampa tu hana chochote pia msaliti wa nchi hii. Yaani watumie kodi zetu kuleta wapelelezi toka nje. Ikiwa hivyo hata mimi nitaandamana kupinga ujio wa wapelelezi toka nje!!
.

..hati akiwa kidampa na msaliti bado sheria za nchi zinamlinda sawasawa na wazalendo wafia Tanzania.

..kuhusu kuandamana kumpinga hiyo ni haki yako ya kikatiba. Nina hakika hata TL atasimama kidete kukutetea ili usipokwe haki hiyo.
 
Wapinzani walishajinyonga wenyewe 2015 nashangaa why this kipindi hiki ambacho CCM walikuwa walau na hoja za kusimama nazo! Vitu vingine havielezeki kama huna ushabiki wa vyama na unahitaji majibu ...

..kweli.

..lakini ccm na vyombo vyake wamekwenda kujipakaza DAMU sasa wanahangaika jinsi ya kujichomoa.

..itafika wakati wananchi watakuwa na choice kati ya aliyechafuka kwa DAMU vs aliyechafuka kwa TOPE(rushwa, ..).
 
Its mad .... kama upinzani hautakiwi si waufute kisheria tu!! Bunge ni lao ...serikali ni yao ....kwanini kuumizana na kuuwana? I didn't expect this seriously!!!
 
Boss Nyani Ngabu Hivi na wewe unalipwa kwa kila Post??? Au yako ni makubaliano, wakienda kinyume tu, Unawapa za Uso ??? !!! Sidhani kama ni kweli haujui "Watu Wasiojulikana".

Back
Top Bottom