Jeshi la Polisi na TCRA walipaswa kumuhoji Zitto Kabwe. Anamaanisha nini kwa kusema "The United Republic of Gangsters". Kuna Jamhuri anaikejeli

Ndani ya Jeshi la Police kuna wengine wana ubinadamu!! Mambo mengine haya....!!
 
Akamatwe na United republic of Gangsters ? Hiyo nchi ipo kwenye sehemu gani humu duniani ?

Kwanini serikali ya Tanzania iingilie mambo ya ndani ya nchi nyingine ?

Ukitukanwa unaona umeonewa ..Bogus kabisa wewe
 
Haya ma-propaganda bana..

Eti kua mzalendo,ipende nchi yako....wakati kua mzalendo ni kuichukia CCM...

Hakuna uzalendo mkubwa zaidi ya huo!
 
Naona sahivi serikali imeanza kufatilia shutuma za mitandaoni hahaahahaa kuna kipindi waliikataa kabisa mitandao
 
DNA ya chuki ,hasira na utumiaji wa nguvu inazidi kusambaa ndani ya nchi yetu,kosa lake Mh.Zito ni lipi hapo???
 
Zito siku zote ni mnafiki sana wala sio wa kumtegemea katika jamii , hafai hata kuwa Mwenyekiti wa Mtaa atawauza kwa maslahi yake namfahamu vizuri.
 
Mi nadhani ungeanza kwanza wewe kumuhoji zitto kupitia jukwaaa hili la twitter kabla hujazitaka mamlaka kumhoji

Halafu labda nikuulize hivi ni kweli hii jamhuri ya wahuni haipo pote chini ya jua
 
Mkuu, kwa mambo yanayoendelea nchini Teezee kubaki na imani na viongozi wa sirkale ni probability event! Ukimuona mtu anaonesha hisia zake, shtuka! The high time is now!
 
hahahahaa nimeamini ni ngumu kuficha mahaba, naona unajificha kwenye kivuli cha uzalendo ila mahaba yanakuumbua
 
Back
Top Bottom