Jeshi la Polisi na TCRA walipaswa kumuhoji Zitto Kabwe. Anamaanisha nini kwa kusema "The United Republic of Gangsters". Kuna Jamhuri anaikejeli

Hakuna wa kukutukana labda nafsi yako inakusuta. Hata kama ZK amemaanisha lakini yako mambo mengi ya msingi ungeweza kuandika yenye tija kwa taifa lako.
Taking back on track a politician who uses insulting rhetorics on social media pia ni jambo lenye tija kwa taifa. Zitto akitumia lugha ya matusi Kama mwanasiasa kwenye world wide web, dunia nzima itadhani kumbe Tanzania nzima ina wanasiasa wa hovyo. Hii ni mbaya sana
 
Mie nimezungumzia hoja ya penal code

Kama Mtu kukamatwa Ni lazima itumike penal code wapi kwenye penal code inasema ni kosa kutangaza Habari Za Mtu kutekwa bila ya Ruhusa ya Familia ?
Wamesema kaingilia uchunguzi wa polisi

Niambie kosa la zitto kwenye ile post, hata ya kufabricate kama ya Manara
 
Mkuu Hapo hakuna kesi yeyote na hata wakimkamata waanzia wapi kumuhoji Kwani Hapo hajataja nchi yeyote, Zitto ni my makini Sana, yaani hapo polisi watakua hwana hoja yeyote juu yake, me nahisi we ndio umefikiria kidogo, wenzio wameahafikiria mbali ndio Mana wamemuacha, watajiabisha bure
 
Ambao hawakumhoji wana akili sana, kuliko wewe mwenye akili za reverse..! Umejijibu mara kadha, afu unauliza swali tena eti ajibu jamhuri ipi? Kwanza nchi yetu hatuna theThe united Republic of gangsters tulicho nacho kinaitwa The United Republic of Tanzania Jamhuri ya Muungano ya Tanzania.

Usikute akili yako inakutuma it's only Tanzania which is Republic
Niseme umekurupuka katika hili, hivi hiyo jamhuri ni zaidi ya mbingu? Mungu anasamehe watu wanao kashifu mbingu iweje sisi tuokoteze maneno na kulazisha kuyafunganisha na watu ili tu kufurahisha watu fulani.
 
Shikamooni wakubwa zangu wote.


Zitto kama mwanasiasa ndiye anayepaswa kuwa kioo cha jamii kuanzia mienendo, lugha mpaka utii wa sheria za nchi (kutotumia lugha zenye ukakasi na kejeli) leo ndio unaandika maneno ya hovyo kwenye mitandao.

I'm very disappointed with you brother.

OUR MOTTO
=========View attachment 900728

Espionage: Majasusi wa Mossad alivyoiba mkojo wa rais Hafez kwa kutumia CHOO CHA BANDIA - JamiiForums

Hivi ile ya kuwatakia matajiri waishi kama mashetani ni lugha ya staha?
 
Hewa chafu iliyopo angani .....inazidi kuharibu bongo za tuliona ni wasomi na watu wenye umuhimi katika taifa....zitto anatafuta kiki ya kisiasa....tu
Toka ndani ya hilo box aisee. Mbona kuna kiongozi mkuu wa United Republic of Miscellaneous alijinasibu mbele ya wapiga kura wake kuwa yeye ni"kichaa"? Ina maana waliompigia kura nao ni vichaa siyo? Kwanza tuanze na huyo alafu ndiyo tumjadili ZZK.
 
Mwangalie vizuri sura yake kwa makini huyo jamaa, kwa sekunde kama tano hivi, halafu utaona kilichojificha ndani, Mungu ana makusudi yake kuna kipindi alipewa sumu, huyo kama Tundu Lisu maisha yatawaadhibu vibaya mno na bado, utasikia tu, nothing hits as hard as life, amuulize Tundu Lisu!
 
Mwenzenu anatafuta 'attention' na jamaa wanam-ignore ninahisi inamuuma sana maana amezowea 'attention'
na ndiyo maana anapenda kuchokonoa
 
Bush lawyer mwenye akili iliyojaa upepo
Screenshot_2018-10-15-13-11-50-1.jpg
 
Usiruhusu akili ndogo itawale akili kubwa, hivi ulivyofanya analysis mapendekezo yako yakaishia hapo? Itabidi tukuchunguze mwenyewe
 
Naona kaka unachanganya mambo.

Wewe ni askari, unachanganya uaskari na siasa,kosa ambalo ccm wamefanya, yaani kuwaingiza polisi kichwa kichwa kwenye siasa za nchi hii.
Siasa + jeshi = vurugu na kuchanganyikiwa
 
Wasomi wa TZ😅😅😅😅😅 sijui mashuleni wanafundishwa ujinga na kujipendekeza tu
 
Jamuhuri ya Muungano wa wahuni ipo bara gani mkuu? Au wahuni ni neno la staha kwa mwanasiasa kama zitto?
Dogo, shughulika na shida zako na acha kulialia humu na habari zako za kusadikika! Unajichanganya mwenyewe na wazo la mtu lisilokuhusu hata! Na maswali unayohangaika kujiuiza na kumshtakia ni visivyokuwepo na kuwezekana! Tafuta kitabu cha abunuwazi ukisome huenda ukagundua sheria aliyovunja Zitto! Acheni kutafuta vyeo humu!
 
Back
Top Bottom