Jeshi la Polisi na TCRA walipaswa kumuhoji Zitto Kabwe. Anamaanisha nini kwa kusema "The United Republic of Gangsters". Kuna Jamhuri anaikejeli

Kuwa mpole ndugu yangu, wajuaje labda haluwa yeye bali waliHACK account yake, kesi iyo ngumu sana.
 
Hao viongozi wahuni ndio akina nani? Please mention their names so that the appropriate authorities can deal with them according
ah ah kwani wewe huwajui?? Nilimuona kangi Lugola akikata mauno jukwaani mara kadhaa siku moja alikuwa akisema Mag@@' ng'ana ng'ana, uyu jamaa ni muuni paseeee
 
Screenshot hapo juu ni statement ya kaka yangu Zitto Kabwe siku kadhaa baada ya kutekwa mfanyabiashara Mohammed Dewji almaaruf kama MO

Shikamooni wakubwa zangu wote wa humu JF.

Ninajua fika baada ya kuandika thread hii kuna watu watanitukana sana, wengine watasema ninajipendekeza kwa wakubwa, wengine watasema ninatafuta uteuzi, wengine watasema mbona ninajishushia hadhi. Ila ninachosema mimi ni kuwa sipo hapa jukwaani kwa minadi ya kufurahisha watu. Bali nipo hapa kuongelea ukweli kama ambavyo unapaswa kusemwa.

Katika ukurasa wa Twitter wa mwanasiasa Zitto Kabwe, nimekutana na post yake moja alioandika kwa lugha ya kiingereza kwamba "The United Republic of Gangsters" kwa tafsiri ya haraka haraka ya kiswahili inaweza kuwa na maana kwamba "Jamuhuri ya Muungano wa Wahuni"

Kwa maoni yangu mimi naona kuiita Jamuhuri fulani kuwa ni ya watu wahuni si lugha yenye staha kwa mwanasiasa kama Zitto (Ingawa hajataja hiyo jamuhuri ni ya nchi gani) vile vile ni kosa kubwa sana la kimtandao (Cyber Crime)

Jeshi la Polisi pamoja na TCRA walipaswa kumuita na kumhoji Zitto kuwa alikuwa anamaanisha nini kwa hiyo statement yake "The United Republic of Gangsters", hiyo jamuhuri ya muungano imeunganisha mataifa mangapi ya wahuni? Je, marais wa nchi hizo zote ni wahuni pia? Watumishi wa vyombo vya usalama wa wa jamuhuri hiyo ni wahuni pia (army, police, intelligent officers, migration)

Jamuhuri hiyo ni ipi na ipo wapi? Police walipaswa kuhoji hili. Unakuwaje kiongozi wa chama cha ACT wazalendo alafu unatumia lugha za matusi zisizo na uzalendo dhidi ya Jamuhuri za watu wengine hata kama hiyo Jamuhuri ipo nje ya Africa.

Zitto nilikuwa ninamuona ni moja Kati ya wanasiasa makini kumbe ameanza kukosa staha.

Zitto kama mwanasiasa ndiye anayepaswa kuwa kioo cha jamii kuanzia mienendo, lugha mpaka utii wa sheria za nchi (kutotumia lugha zenye ukakasi na kejeli) leo ndio unaandika maneno ya hovyo kwenye mitandao.

I'm very disappointed in you brother.

View attachment 900728
Kuchukia uonevu, dhuluma, ukandamizaji haina maana ya kuchukia utaifa.
 
Ni kwa sababu CCM imeishiwa wanafikiria kukamata na kubambikia watu kesi ndio suluhu. Pole sana brother
 
Kwani akisema hivyo kuna tatizo gani? Labda anataka aliwahi kuisikia nchi inayoitwa hivyo akiwa ndotoni
 
Back
Top Bottom