Jeshi la Polisi linawashikilia Maua Sama na Soudy Brown kwa kudhihaki fedha za Tanzania

TCRA wanadai anaendesha blog kwa domain ya dot com badala ya dot co.tz coz walishatoa maelekezo muda tu wenye blog wote wanatakiwa watumie domain ya dot co.tz yeye naona kagoma, so usishangae akipandishwa kisutu kwa kosa la uhujumu uchumi.
Duuuh kumbe
 
Wadeal nao Perpendicular hawa wasanii wanauccm na userikali mwingi soudy brown haishi kulitagi lipeji la ikulu mawasiliano haya wamsaidie sasa
 
Kama ni kweli walichofanya ni kosa na wanastahili adhabu. By the way huo mshilawadu ajue "MUOSHA HUOSHWA"
 
TCRA wanadai anaendesha blog kwa domain ya dot com badala ya dot co.tz coz walishatoa maelekezo muda tu wenye blog wote wanatakiwa watumie domain ya dot co.tz yeye naona kagoma, so usishangae akipandishwa kisutu kwa kosa la uhujumu uchumi.
millard Ayo naye ni .Com mbona anapeta tu
 
Kesho keshokutwa waanze kutembeza bakuri kutuomba mashabiki

Pumbavu zao sana.

Yaani Wasanii wa Bongo wanashangaza sana. Mitandaoni wanakuwa na pesa nyingi ila siku wakiugua hata Malalia kidogo wanaanza kusumbua mashabiki.
 
Mkuu ndio tatizo la maceleb wetu hata uwezo wa kufikiri na kutambua hili baya au zuri hawajui kazi kuchonga midomo kama kasuku na kutafuta umaarufu,pesa ni nembo ya taifa na sheria inakataza kusigina pesa,kwani pesa sio ya mtumiaji tu,ukiwaamba watu wasome na waongeze maarifa unaonekana umepitwa na wakati,kabla hujafanya jambo fikiria pia na upande mwingine,hawa ndio vihiyo wetu
mmh hizo pesa hawajazichana...wamezikanyaga tu na kuendelea kuzitumia...hapo hamna kosa ni upuuzo tu., ni sawa na kuweka pesa kwenye wallet halafu ukalie hiyo wallet....kwa hiyo na wewe ushtakiwe kwa kukalia wallet
 
Mbona unalinganisha vitu tofauti kukanyaga na kukalia kitu ni mambo mawili tofauti,ndio maana tunakalia viti na hatukanyagi viti,nawe umekuwa kama Sudi Brown!
 
Back
Top Bottom