Jeshi la Polisi linawashikilia Maua Sama na Soudy Brown kwa kudhihaki fedha za Tanzania

mmh hizo pesa hawajazichana...wamezikanyaga tu na kuendelea kuzitumia...hapo hamna kosa ni upuuzo tu., ni sawa na kuweka pesa kwenye wallet halafu ukalie hiyo wallet....kwa hiyo na wewe ushtakiwe kwa kukalia wallet
Hata kujiita laki si pesa ni kudharau thamani ya pesa ya Kitanzania unatakiwa uhojiwe WW.
 
Asante mungu kwa kuzariwa tz koz naona matukio ambayo yanafurahisha zaid ya tom&jarry
 
Cha msingi wawafunge wala wasipoteze muda watu wanavunja sheria kwa makusudi utakanyagaje pesa?wawafunge tena kifungo kirefu ili fundisho kwa watu wengine.
 
According to our sister kutoka majuu anasema kuna ulakini mbona wengine wameachwa???
 
Hii ni kesi kubwa sana, tena ingekuwa kwa nchi kama China wangekuwa na hali mbaya. Sio Tanzania tu niliambiwa USA dollars , mwisho kuikunja ni mara moja, ukiikunja kunja ni kosa. Ila hawa jamaa naona waachiwe na wapewe onyo kali kwani wao wameipost instagram na kusambaziana ile video wao kwa wao, ila yule jamaa ktk ile video aliyekuwa akizifagia zile noti, ndiye anatakiwa kunyooshwa.
 
Ni kosa kweli, ila tatizo ni kuwepo kwa double standard, kuna video nyingi sana zipo mtandaoni kama hizo lakini mbona kwao hakuna yaliyowakuta?? Na kama sio mambo mengine tu inakuwaje mtu ashikiriwe siku 7 bila kupelekwa mahakamani?? Na usije shangaa wakaja kuachiwa huru bila hata kufikishwa mahakamani!!!
 
Polisi inamshikiria mtangazaji Soudy Brown na mwanamuziki Maua Sama kwa kosa la uharibifu wa mali. Inadaiwa wameonekana mtandaoni wakirusha hela na kuzikanyaga

Kamanda wa Polisi Kanda Maalum Dar, Mambosasa amethibitisha
Yule sudi si anavaaga ninja? Sasa wamemjuaje?
 
Naamini mtu wa pili kuingia jehanamu baada ya shetani ni mwanasiasa
Screenshot_2018-09-23-12-47-16.jpeg
Screenshot_2018-09-23-12-46-53.jpeg
 
Back
Top Bottom