Jeshi la polisi lajianika

Acha kabisa kuwasema police wetu, hao ni sehemu ya wakusanya kodi.....
 
Mtaala unaotumika kuwafunza huko CCP uboreshwe wazalishe polisi more professional
 
Ndugu hizi habari zako za sheria sio kwa Tanzania hii ,unless kama kichwani unawaza upo London
Bongo makofi kuchezea ni kitu cha kawaida
Kwanini haya yanatokea?Nani karuhusu?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…