Ukweli ni kuwa kitu chochote kinachofanywa kwa jina la ccm huwa ni sahihi tatizo ni pale linapofanywa na watu kwa jina la chama cha upinzani hasa chama kinachowasumbua..............lakini siku ipo kila kitu nkitajulikana na mambo yatakwenda sawia...... Ole waoooooooo
simple!chadema wa vyuo vikuu waandae maandamano tuone.
Katika mahafali ya kwanza Chuo Kikuu Cha Dodoma 2010. Aliye kuwa mgeni Rasm Ndugu J.K Aliwaasa wanafunzi vyuoni kuachana na Siasa Jambo hili pia limekuwa likivaliwa njuga na viongozi wa serikali ya CCM, hata Spika wetu amekuwa akionya mara kwa mara kuwa vijana wasome kwanza Leo waliojiita vijana wa CCM WA VYUO VIKUU walioandamana eti kuunga maamuzi ya CC YA CCM nakutaka viongozi walio tajwa kuhusika na ufisadi wasipewe vyeo vingine badala yake wakaozee gerezani! Msema kweli mpenzi wa Mungu Kwa mujibu wa polisi taarifa ya maandamano hutolewa kabla ya siku 3. Maamuz ya cc ya ccm yalitoka ijumaa maandamano yamefanyika jumapili. Hivi kweli utaratibu wa Maandamano ulifuatwa na hawa wanaojiita wanafunzi wa Vyuo Vikuu wa CCM. Nasema jeshi la polisi acheni kudhihirisha udhaifu wenu wakuitumikia CCM Hadharani. Wangekuwa vijana wa Vyuo vikuu wa CHADEMA Maandamano yao yangeitwa batili na wangeishia kupigwa virungu na Mabomu ya machozi Wangekuwa wa CHADEMA leo kingenuka Daa na tungesikia hawa viongozi wa CCM wakiwabeza kuwa waachane na siasa
Mimi siwashangai vilaza hao walioandamana kuiunga mkono CCM kwa maana tunafahamu wapowanaofika huko kwa kubebwa kama wale 5000 waliogundulika kwenda Sekondari wakiwa hawafahamu hata kuandika majina yao! Utatarajia nini kwa vilaza kama hawa? Nasema hivi kwa sababu mahala CCM ilipotufikisha ni mtanzania mwenye kichaa tu amayeweza kuandamana kuwaunga mkono. Mimi nimefuirahi kwa vile wameji expose kwamba ni ******. Nasikia wapo hata wakufunzi type hiyo! Shame on them.Nasikia hata hao walioandamana nusu ni wanafunzi wengine ni wapuuzi wa mtaani waliopewa 5000 kama hongo!msomi mwenye akili yake hafanyi upuuzi wa kuiunga mkono ccm.
miongoni mwao nasikia kuna vijana wa sekondari!Nasikia hata hao walioandamana nusu ni wanafunzi wengine ni wapuuzi wa mtaani waliopewa 5000 kama hongo!msomi mwenye akili yake hafanyi upuuzi wa kuiunga mkono ccm.