Jeshi la polisi kwa hili tukio la leo mnawaonea CHADEMA

I concur with Mwanakijiji, all men are equal in the sense that they do sleep but some sleep on mattresses and others on rocks. Is that really equal?
 
Ukweli ni kuwa kitu chochote kinachofanywa kwa jina la ccm huwa ni sahihi tatizo ni pale linapofanywa na watu kwa jina la chama cha upinzani hasa chama kinachowasumbua..............lakini siku ipo kila kitu nkitajulikana na mambo yatakwenda sawia...... Ole waoooooooo

Hivi kweli hata kuchinja na kukata watu mapanga CCM wakifanya machoni pao na machoni mwa polisi ni sahihi!!!
 
simple!chadema wa vyuo vikuu waandae maandamano tuone.

kweli mkuu hili ndio suluhisho,dawa ya wanafiki ni tuandae maandamano halafu tuone pusi yeyote ainue domo lake,na sababu za kipumbavu ooh eti taarifa za ki-intelijisia.mbona wameshindwa kuwakamata majizi makubwa.kwanza tuandamane kupinga haya majizi kufukuzwa tu bila kufilisiwa na kusekwa rupango.halafu tuone nao hawa majaji wanafiki kama watawasafisha mahakamani na uozo wote ule ulionikwa na cag ambaye naye ametumwa na bosi wao.wakiwasafisha ina maana watamfanya yeye na serikali yake ni waongo na wanafanya kazi kwa majungu.mimi nakwambia ikifikia hatua hii watatafutana
 
Umenikumbusha kitabu cha shamba la wanyama,I really love the book as it simply depict the equality btn our govt and it's citizen.mkuu nakukubali umenena.
 
Aibu sana,unless hao wachovu wa fikra walijikusanya tu mahala na kuibukia kwa Nape ambaye tayari alishaandaa waandishi wa habari wa bahasha na si kwamba wameandamana kweli. Polisi dizaini ya Kova hawa!!!
 
Lakini hao CCM si ndio wana laani maandamano ya CDM, wanasema Hayana tija. Kwa kweli siwaelewi hawa ccm
 
Katika mahafali ya kwanza Chuo Kikuu Cha Dodoma 2010. Aliye kuwa mgeni Rasm Ndugu J.K Aliwaasa wanafunzi vyuoni kuachana na Siasa Jambo hili pia limekuwa likivaliwa njuga na viongozi wa serikali ya CCM, hata Spika wetu amekuwa akionya mara kwa mara kuwa vijana wasome kwanza Leo waliojiita vijana wa CCM WA VYUO VIKUU walioandamana eti kuunga maamuzi ya CC YA CCM nakutaka viongozi walio tajwa kuhusika na ufisadi wasipewe vyeo vingine badala yake wakaozee gerezani! Msema kweli mpenzi wa Mungu Kwa mujibu wa polisi taarifa ya maandamano hutolewa kabla ya siku 3. Maamuz ya cc ya ccm yalitoka ijumaa maandamano yamefanyika jumapili. Hivi kweli utaratibu wa Maandamano ulifuatwa na hawa wanaojiita wanafunzi wa Vyuo Vikuu wa CCM. Nasema jeshi la polisi acheni kudhihirisha udhaifu wenu wakuitumikia CCM Hadharani. Wangekuwa vijana wa Vyuo vikuu wa CHADEMA Maandamano yao yangeitwa batili na wangeishia kupigwa virungu na Mabomu ya machozi Wangekuwa wa CHADEMA leo kingenuka Daa na tungesikia hawa viongozi wa CCM wakiwabeza kuwa waachane na siasa

Jeshi la polisi ni ccm pure, hivyo ni sawa na taasisi nyingine za ccm kama UWT au UVCCM, Hivyo usitegemee chochote cha maana toka kwa hiyo polisi@ccm.com
 
Polisi ni ''kamati ya kuimalisha chadema'' samahani kwa ndugu zangu watakaoshindwa kunielewa nini namanisha. Kwa kiasi kikubwa polisi wamechangia kukimarisha chama bila wenyewe kujuwa. Na hao vijana walio andamana mioyo yao iko chadema ila dhiki tu ndiyo inawambua na kukosa ujasiri wa kudhubutu. Jaribu fanya utafiti utajua nini namanisha. Nguvu ya umma siku zote haizuliwi na vilungu wala hila za viongozi.
 
mi sijawahi kusikia maadamano ambayo ni batili...umeshawahi sikia marekani or europe serikali zinazuia maandamano? hata siku moja na ni kwa sababu kuandamana ni haki ya msingi kwa kila raia...bt huku africa ukiandamana unaambiwa umevunja sheria hasa ka unaandama kuipinga serikali. Inabidi kwenye marekebisho ya katiba waweke kua kuandamana ni ruksa na huhitaji kibali cha polisi kwa sababu ni haki ya kimsingi kwa mtanzania yoyote popote pale alipo na kwa muda wowote...
 
Mzigo mzito mbebeshe Mnyamwezi ataufikisha tu, hata akitoka jasho sana. Their days are numbered!
 
Nasikia hata hao walioandamana nusu ni wanafunzi wengine ni wapuuzi wa mtaani waliopewa 5000 kama hongo!msomi mwenye akili yake hafanyi upuuzi wa kuiunga mkono ccm.
Mimi siwashangai vilaza hao walioandamana kuiunga mkono CCM kwa maana tunafahamu wapowanaofika huko kwa kubebwa kama wale 5000 waliogundulika kwenda Sekondari wakiwa hawafahamu hata kuandika majina yao! Utatarajia nini kwa vilaza kama hawa? Nasema hivi kwa sababu mahala CCM ilipotufikisha ni mtanzania mwenye kichaa tu amayeweza kuandamana kuwaunga mkono. Mimi nimefuirahi kwa vile wameji expose kwamba ni ******. Nasikia wapo hata wakufunzi type hiyo! Shame on them.
 
Elimu ya Niny wanafunzi wa Vyuo angalieni msichafuliwe CV na watoto wa sekondari. Kama vp itisheni maandamano makubwa mzime haya ya magamba ya jana
 
Nimewaona na mabango yao kwenye gazeti la habari leo ukurasa wa tatu, wanatia huruma aisee. Jamaa wanaonekana wamelazimishwa na kiakili hawapo pale kabisa.
Wamemwandikia wrong person ujumbe ambao akitoka pale kishasahau kila kitu.
 
Katika mahafali ya kwanza Chuo Kikuu Cha Dodoma 2010. Aliye kuwa mgeni Rasm Ndugu J.K Aliwaasa wanafunzi vyuoni kuachana na Siasa Jambo hili pia limekuwa likivaliwa njuga na viongozi wa serikali ya CCM, hata Spika wetu amekuwa akionya mara kwa mara kuwa vijana wasome kwanza Leo waliojiita vijana wa CCM WA VYUO VIKUU walioandamana eti kuunga maamuzi ya CC YA CCM nakutaka viongozi walio tajwa kuhusika na ufisadi wasipewe vyeo vingine badala yake wakaozee gerezani! Msema kweli mpenzi wa Mungu Kwa mujibu wa polisi taarifa ya maandamano hutolewa kabla ya siku 3. Maamuz ya cc ya ccm yalitoka ijumaa maandamano yamefanyika jumapili. Hivi kweli utaratibu wa Maandamano ulifuatwa na hawa wanaojiita wanafunzi wa Vyuo Vikuu wa CCM. Nasema jeshi la polisi acheni kudhihirisha udhaifu wenu wakuitumikia CCM Hadharani. Wangekuwa vijana wa Vyuo vikuu wa CHADEMA Maandamano yao yangeitwa batili na wangeishia kupigwa virungu na Mabomu ya machozi Wangekuwa wa CHADEMA leo kingenuka Daa na tungesikia hawa viongozi wa CCM wakiwabeza kuwa waachane na siasa

Tanzania "hakunaga" jeshi la polisi. Kuna "Green Guards" masalia na "Green Guards" komesha Chadema. Kama mgombea mbunge anampiga mtama OCD halafu hafanywi lolote unategemea nini kutoka hawa "Green Guards". Guarding the Green fellas that's what it's all about.

Kanoe panga, jifunze kung-fu, nyanyua chuma, fanya mazoezi saaana, hilo linaitwa "ulinzi shirikishi" usitegemee amani itapatikana na "kulindwa" na mafisadi.
 
Back
Top Bottom