Jeshi la Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam latoa onyo kwa wanaopanga kuandamana kesho

Wangekuwa na busara basi wangeanza kumuonya Lissu kwamba kutumia lugha ya ukali, kashfa, dharau na kuudhi si njia sahihi katika kudai anachokiita haki. Kama ni sheria inavunjwa basi inadaiwa kwa kutumia njia sahihi za kisheria na si kama anavyofanya. Na pia Lissu kuwa Rais wa TLS hakumfanyi kuwa juu ya sheria. Akikosea anashughulikiwa kama kawaida. Lakini pamoja na yote hao wanasheria wenzake wamesahau kuwa sheria inawaruhusu polisi kumshikilia mtuhumiwa kwa zaidi ya masaa 48 ikiwa tu wataona kuna ulazima wa kufanya hivyo.
zinepita saa 48 cha ajabu Polisi wanatoa vioja kuwa bado wanafanya uchaguzi, ujue polisi wengi hawana vyeti wanafanya kazi kwa kujipendekeza sio kwa mujibu wa sheria za Nchi, Lisu hana kosa yy katumia haki yake kumkosoa Mtukufu malaika wa chato ambaye amebaka Demokrasia kwa kuwabambikia kesi kuwakomoa kuwadhalilisha na kuwaonea Wapinzani, ulitaka Lisu atumie njia ipi kumwambia magufuli Ukweli? njia zote wametumia lakini magufuli Mtukufu hataki kuacha Udikteta lazima lisu apaze sauti ulimwengu ujue Mtukufu ni Dikteta, wanasheria wanajua sasa Tanzania hakuna haki na hao ndiyo walimshauri ajitoe mhanga amchane Live Mtukufu malaika toka chato ingawa walijua atatumia polisi kumbambikia kesi kibao ikiwemo mbinu ya Bashite na le mutuz kuandaa maji na chakula chenye dawa za kulevya kupeleka rumande alishwe Lisu kisha akapimwe mkojo wapate kumbambikia kesi ya Unga, Mungu hapendi ndiyo maana siri zimevuja japo wapanga njama ni vilaza pia.
 
Wanasheria wameamua kuandaa maandamano baada ya kupenyezewa Siri na baadhi ya Polisi wema ambao hawapendi unyanyasaji wanaofanyiwa Wapinzani, siri iliyovuja ni mbinu za Bashite na Le mutuz kuandaa slow poison na maji yenye dawa za kulevya zipelekwe rumande akapewe Lisu kisha wambambikie kesi ya unga baada ya kumpima Mkojo, zipo njama za kumpoteza kwenye ramani ya Tanzania hakuna Siri tena ni Aibu kwa Mtukufu kuomba watanzania wamuombee kwa unyama huu anaowatendea Wapinzani.
 
Hao wahuni hawajui kuwa Police Bado wanafanya uchunguzi? Waandamane waje watusimulie kipigo watakachokumbana nacho
Uchunguzi hufanyika kwanza ndipo mtu anakamatwa sasa polisiccm vilaza wanakamata kwanza uchaguzi baadae, wachunguzwe wengi hawana vyeti wanafanya kazi kwa kujipendekeza kwa Mtukufu malaika wa chato.
 
Serro anadhihirisha kujikomba kwake.....hoja ya Lisu ilitakiw ijibiwe na Pole Pole.....na wenzake wa propaganda!!! Policcm kuingialia mambo ya wanasiasa wao ndio wanaifanya serikali na huyo mfalme wao kuchukiwa na wananchi wanajielewa!! Policcm ndio wanaharibu utaratibu wa siasa za kistaarabu zilizojengwa pia demokrasia yake!!!!
 
Ujumbe umesikika IGP
Huo ni woga tu na kutisha wapenda haki mmekuwa waonevu mtu asiseme ukweli mnajaribu kunyamazisha ili ukweli usisemwe na yako mengi tu ambayo ktk kesi yatahojiwa kweni huyo ni mwema sana historia iko wazi yote yatajulikana mahakani lkn kweni uongozi wa serikali hii c wa kikanda ki chato lkn pia kifamilia?mnamshitaki kwa kusema kweli, (kristo aliwauliza watesi wake baada ya kusema ukweli ,mmoja wao alimpga kofi, akasema ikiwa nimesema ukweli kwann kunipiga?)lipi kosa la tundu LISU enyi watesi, hata kumtesa?iweni vyovyote vile lkn iko siku yaja tena i karibu sana yote yatazihilika kwa maonevu yenu, c kweli huyo AGP ni wa kanda hiyo na MNIKURU ni wawapi je huyo DOTTO matius ni wa wp je happiness mkuu wa wilaya ni mtoto wa nani kwann stumie jina la mjomba wake badala la huyo baba ake halisi? Je kuna mtoto wa kikwete aliwahi kuwa mkuu wa wilaya au mkurugenzi zaidi ya ubunge ambao ni wa kugombea kisiasa?je mkapa,na nyerere je lkn pia mwinyi?kwann iwe leo wacha watu wapumue kwa machafu yenu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mbona unaongea kwa mafumbo na maneno yaliyojaa dhana tu.Weka vitu wazi ueleweke Sasa Meseji kama hiyo nani atakuelewa halafu na wewe uko kwenye mapambano wakati hata kuandika tu unaogopa?

Rais wa nchi hana udini,ukanda wala ubaguzi wowote ule hizo ni dhana tu zinazosambazwa na wapinzani wake bila sababu yoyote.

Watoto wa viongozi wana haki sawa na mtanzania yoyote yule ktk kuitimikia nchi hii.

Mfano mtoto wa Mwinyi ni Waziri wa ulinzi kwa Sasa lakini ameshika wadhifa huo ktk wizara ya Afya pia.

Watoto wa Nyerere wameshakuwa wabunge kama ilivyo kwa mtoto wa Kikwete.

Watoto hao hawana tofauti na watoto wengine ndugu na wana haki zote kama wewe tu.
 
Uwaziri wa mtoto wa mwinyi kaupata kipindi kipi? Ki Siasa c shida mkuu,tujaribu tu kuwa wakweli LISU kusema kikanda kifamilia kichato amekosea? Kwann asijibiwe kama ni uongo?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Badala ya kukamata wanaoua watu huko kibiti mnakaa kukamata kina lisu, alafu mnajitapa eti acheni jeshi la polisi lifanye kazi yake.... Kazi gani ya kukamata watu wasio na silaha, wamelala makwao, hawajaua mtu... Kama nyie vidume nendeni kibiti

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Maandamano hayo polisi hawawezi kuyaruhusu. Walifanya hivyo watasababisha Jpm aseme "I wish a kud bee Agip"
Moja ya sifa za kidikteta ni kupenda kuwa na vyeo vingi, hutasikia his excellency the president , command in chief of armed forces, armed chief of commanding forces, prime minister, president of national security council, field marshal, chairman of national executive commitee, chairman of ruling party, professor/dokta, minister of finance , chancellor, mtukufu, muheshimiwa, nk.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wadau wanasheria naomba kujua: Je, ni sheria ipi inayipatia polisi mamlaka ya kumkamata mtu kabla ya kuchunguza na kuwa na uhakika kuwa ni mhalifu?
 
Badala ya kukamata wanaoua watu huko kibiti mnakaa kukamata kina lisu, alafu mnajitapa eti acheni jeshi la polisi lifanye kazi yake.... Kazi gani ya kukamata watu wasio na silaha, wamelala makwao, hawajaua mtu... Kama nyie vidume nendeni kibiti

Sent using Jamii Forums mobile app
Kibiti wanaogopa wamebakia kwenda kuua Raia wema kisha wanasingizia ni majambazi wamekufa wakiwa njiani kupelekwa Hosptal, Polisiccm sasa ni Tawi la CCM kwa 100% IGP wa zamani Ernest Mangu alikataa ujinga huo wa kuwabambikia kesi kuwakomoa Wapinzani ndiyo maana Magufuli akamtengua huyo IGP mpya mzee Siro ICC haitamuacha salama ajiandae kwani kuendekeza Amri kutoka juu kwa kujipendekeza kwa Mtukufu atavuna kifungo The Hague.
 
Back
Top Bottom