Jeshi la Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam latoa onyo kwa wanaopanga kuandamana kesho

Anderson Ndambo

Senior Member
Jun 3, 2017
152
207
Zipo taarifa zinazosambaa kupitia mitandao ya kijamii zikisema kuwa baadhi ya wanasheria wa Chama Cha Wanasheria wa Tanganyika, TLS kwa kushirikiana na viongozi na wafuasi wa Chama kimoja cha Siasa na baadhi ya taasisi zisizo za kiserikali kinapanga kuitisha maandamano kesho Jumatatu tarehe 24 Julai 2017. Hoja zinazotolewa na wanaopanga maandamano hayo ni kushinikiza Rais wa chama hicho ambaye tunamshikilia kwa upelelezi aachiwe huru.

Ieleweke kwamba, Tundu Lissi hashikiliwi kwa vile tu ni mwanasheria ama ni Rais wa TLS ama ni Mwanasheria wa CHADEMA. Anashikiliwa kutokana na makosa aliyotenda ambayo Jeshi la Polisi linaendelea kuyachunguza. Pindi upelelezi utakapokamilika, Tundu Lissu atafikishwa mahakamani ambapo Mawakili watapata fursa ya kumtetea. Kwa sasa waliache Jeshi la Polisi lifanye kazi yake na tunawaahidi kuwa haki itatendeka.

Pamoja na ukweli kwamba, uwepo wa maandamano hayo umesambaa kupitia mitandao ya kijamii na kwamba hakuna taarifa rasmi zilizotolewa na waratibu wa maandamano hayo kwa Jeshi la Polisi, ni dhahiri kwamba yana nia ovu na yanaweza kusababisha uvunjifu wa amani. Kwa taarifa hii, Onyo Kali linatolewa kwa wale wote watakaojaribu kufanya mikusanyiko mahala popote ndani ya Kanda ya Dar es Salaam kwa nia ya kufanya maandamano. Jeshi la Polisi halitasita kuchukua hatua kali dhidi yao.

Jeshi la Polisi
Kanda Maalum ya Dar es Salaam
 
Kumekucha, hapa kila mtu apambane na hali yake tu hakuna namna!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kumbe mnajua watanzania wamewachoka kwa tabia zenu za kutokutenda haki,na ninawaambieni nyie polisiccm ndio mtakao ingiza nchii kwenye machafuko.
 
Maandamano yanayoruhusiwa ni yale ya kumuongezea mtukufu muda!!!!!!
Nilichojifunza kuhusu vyama vya wanasheria afrika mashariki na Sadc hawana akili.wametoa tamko kulaani kushikwa raisi wa TLS wakati alichoshikiwa hakina uhusiano na uraisi wake.Naziomba nchi zote zenye vyama vya wanasheria wabadili sheria haraka waanzishe bodi za wanasheria kama walivyo na.bodi za.madaktari mainjinia nk si sawa kuwa na vyama vya wanasheria kunahitajika bodi za wanasheria.Profesa kabudi take the lead.kushawishi serikali za afrika mashariki na sadcc
 
Back
Top Bottom