Ngambo Ngali
JF-Expert Member
- Apr 17, 2009
- 3,517
- 1,360
Haki ya mtuhumiwa kutetewa haianzii mahakamani.Pindi upelelezi utakapokamilika, Tundu Lissu atafikishwa mahakamani ambapo Mawakili watapata fursa ya kumtetea. Kwa sasa waliache Jeshi la Polisi lifanye kazi yake na tunawaahidi kuwa haki itatendeka.
Haki hiyo huanza kabla hata hajakamatwa na baada ya kukamatwa. Haki hiyo huendelea mpaka atakapofikishwa mahalamani. Kifungu cha 57 cha kanuni kendesha kesi za jinai