Jeshi la Marekani wanategemea sana hesabu

Jeshi la Marekani wanategemea sana hesabu

Shytown

JF-Expert Member
Joined
Nov 2, 2025
Posts
468
Reaction score
791
Wamerekani wamekuwa wakionesha Dunia kuwa Hesabu ndio kila kitu Jeshini kwani 100% ya maamuzi yanayofanyika jeshini/vitani ni Hesabu & Physics

Mfano:

1. Kurushusha mabomu ni hesabu kwa huku kwetu ipo kwa kidato cha tano Phy/maths
2. Mambo mengi vitani yanahitaji prediction (probability) ipo kwenye hesabu Olevel na Air level
3. Kurusha ndege za kijeshi kwa USAHIHI zinahitaji hesabu na phy kwa asilimia 100
4. Kutumia silaha NA KUFANYA MAAMUZI SAHIHI ya kijeshi kwa haraka kunahitajika hesabu kwa 100%

Naamini Nchi nyingi zina cha kujifunza kutoka Marekani bila kujidanganya kuwa mtu mwenye sifuri ya hesabu utaenda kumfundisha kurusha mabomu; badala ya kurusha mabomu 3 amalize kazi anaishia kurusha mabomu 20 na hapo pengine mawili tu ndio yamelenga target....nakuishia kuleta hasara ya mabilioni ya pesa.....
Marekali ikiwa na wanajeshi 20 wa kurusha mabomu; wanaweza kufanya kazi nzuri kuliko 200 wa nchi nyingine ambao hesabu sio kipaumbele jeshini.....na ndio sababu Marekani inatishia dunia

Au rubani anazungusha lindege la kijeshi hadi lina angushwa kwa kushindwa kupiga hesabu sahihi au prediction/probability au kufanya maamuzi ya haraka....

Hii ya Hesabu Jeshini ni SIRI NIMEWAPA na wamarekani hawapendi wengine wajue....kazi kwenu!
 
Back
Top Bottom