Jeshi la Kenya limetumia busara sana.

Watu wengi wangetiwa vilema na hata kupoteza uhai wao.
NI FUNZO KUBWA SANA KWA WENGINE.....MATUMIZI YA NGUVU HAYANA TIJA , WAKATI MWINGINE WAACHE WATU UONE KAMA WATAKUWA WEHU WA KULETA FUJO BILA SABABU.MIMI NIMEWAPENDA SANA ASKALI WA KENYA
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Wa kupongezwa hapo ni Kenyata, huyu jamaa kakomaa sana kisiasa. Ni kijana mdogo tu likini yupo safi sana up stairs Afrika Mashariki....
 
Ingekuwa bogo ungesikia jeshi lina mpango wa kukarabati uwanja wa taifa siku ya kuapishwa
 
Dunia ilitarajia leo yangetokea machafuko wakati Odinga akijiapiza kuwa raisi wa watu wa kenya.ilitarajiwa police wa kenya wangezuia na kusababisha umwagikaji wa damu hasa kutokana na umati mkubwa wa watu uliokuwa ukitarajiwa.
Nampongeza Kenyatta kwa kuamua kutulia na kumuacha Odinga afanye alichokusudia bila ya kubugudhiwa na police, hii imeepusha sana umwagikaji wa damu .
Hongereni askali police wa KENYA.
Hata angekuwa nani yule asingefanya vinginevyo. Sababu mbili za muhimu, kwanza, jeshi halikumtii ni kama maigizo tu. Pili, naye ana kundi kubwa hivyo kufanya vinginevyo ni athari zaidi. Lakini, hili picha halitaishia hapa, hadi hapo watakapokutana tena mezani.
 
Huku Bongo kutaka tu kumwombea Lisu alipopigwa risasi haikuwezekana. Kisa nini?
 
Jamaa wetu hajiamini, ni muoga anahisi kuondolewa Kila saa
Yaani Magufuli yuko hatarini kuondolewa kuliko Kenyatta? Umefikiri vya kutosha kweli? Nani wa kumuondoa sasa hata kwa sanduku la kura?
 
yani hata huyo mjaluo mwenyewe kastaajabishwa alitegemea vurugu ili apate pa kuanzia sasa naamini plan A imeshindikana wako na plani B watakuja nayo soon
 
Angekua tahira wetu wangekoma
Naomba nikutahadharishe tu mkuu..
Hujajificha kiasi cha ww kuweza kusema maneno haya. Ni kitendo cha nusu saaa tu ww taarifa zako zinapatika Chunga sana mdomo wako, chunga mihemko yako usidhani melo anaweza kukulinda..
 
Hata JK alikuwa na ''busara'' hizi. Anawaacha watu wanaandamana, wanatoa ''mapovu'' yao yote jukwaani na mwisho wa siku wanarudi nyumbani huku yeye bado ni Rais wa JMT.
 
Unachosema ni kweli kabisa Mkuu lakini si huku kwetu ambapo uhuru na haki za Watanzania zinaminywa kila siku utadhani wale makaburu wa Afrika Kusini wamehamia Tanzania. Manyanyaso, kudhalilishwa kutekwa, kuteswa, kubambikiwa kesi na hata kuuawa ni mambo ambayo yameleta hofu na taharuki kubwa sana katika jamii ya Watanzania.

NI FUNZO KUBWA SANA KWA WENGINE.....MATUMIZI YA NGUVU HAYANA TIJA , WAKATI MWINGINE WAACHE WATU UONE KAMA WATAKUWA WEHU WA KULETA FUJO BILA SABABU.MIMI NIMEWAPENDA SANA ASKALI WA KENYA
 
Tahira wenu yule DJ au mamvi?
Mbona sijataja jina au ndio athari za kulelewa bila.......
Yaani Magufuli yuko hatarini kuondolewa kuliko Kenyatta? Umefikiri vya kutosha kweli? Nani wa kumuondoa sasa hata kwa sanduku la kura?
Wapi ametajwa hyo uliyemtaja?
Mi sijataja jina la kiumbe
Naomba nikutahadharishe tu mkuu..
Hujajificha kiasi cha ww kuweza kusema maneno haya. Ni kitendo cha nusu saaa tu ww taarifa zako zinapatika Chunga sana mdomo wako, chunga mihemko yako usidhani melo anaweza kukulinda..
We kenge acha kutisha watu hapa, fanya uwezalo pussy wewe..
Tatizo nyie kenge mnajihisi hata upepo ukipita tu mnaogopa
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom