Jeshi LA Ivory Coast lakinukisha!

Kabla ya kuanza kuandika upuuzi jiulize nani kamuingiza Outtara madarakani? Kama unataka kumtoa Mzungu kwenye hii equation, kwa nini Majeshi ya Ufaransa yaliingia Ivory Coast kwenda kumkamata Gbagbo kwa nguvu?

Hata kama, matokeo ya uchaguzi yalionesha gbagbo kashindwa na akanga'ng'ania kubaki madarakani, nguvu ya umma na hao unaowaita wazungu wakamng'oa. So people decided to put him out first, unless election result was doctored.
 
Kwa nini Mzungu aingilie? Unaelewa maana ya nchi kuwa huru?
 
We jamaa umeongea jambo la mbolea sana, nimetabasamu. Umeniondolea ndita nilizopata baada ya kusoma comments za Barbarosa
 
Majeshi ya africa yakiongozwa na senegal yakiingia Gambia pia we unaichukuliaje? Uvamizi?

Ndiyo ni Uvamizi! Chombo pekee chenye uwezo wa kuamua ni UN chini ya UNSC, kinyume na hapo ni illigal war, na kuna sababu kwa nini huo utaratibu umewekwa!!
 
Hahah naona hiyo IT based army, mara drones, bombs hao darasa la saba wako wataweza fanya wenye hayo mambo yote si ndiyo au ?? Maana umesema jeahi lisiwaajili wasomi
 
MMAMAZAOO AWAKUWAHI KUWAPA HATA DOLA 200 WAJEPATA 8000 SHAME N THEM
 
Kabla ya kuanza kuandika upuuzi jiulize nani kamuingiza Outtara madarakani? Kama unataka kumtoa Mzungu kwenye hii equation, kwa nini Majeshi ya Ufaransa yaliingia Ivory Coast kwenda kumkamata Gbagbo kwa nguvu?
Nilichokisema ndo hicho unachokiamini wewe Kama mtu mweusi siwezi kurudia tena. Vipi waliomuingiza Shein Zanzibar ni wazungu pia?
 
Wazungu ndio wamewatuma?Hizi akili hizi itakuwa ni za pande zile,zinaleta ujinga sana!kila tatizo la mwafrika-wazungu!
 
Hahah naona hiyo IT based army, mara drones, bombs hao darasa la saba wako wataweza fanya wenye hayo mambo yote si ndiyo au ?? Maana umesema jeahi lisiwaajili wasomi
Sijui Elimu zenu zipoje? Uwe unasoma na una elewa, ndio una comment! Na sijasema jeshi zima liwe std (wasi wa Ignore std7). Kwani vita vya Kagera degree holders ndio walipigana?
Nimeainisha kazi za std 7. Ikiwa ni pamoja na kupigana pia.

Pia nimeweka mf tu wa idadidi ya std 7 (3000). Nani ka kwambia jeshi zima ni la Tz ni watu 3000? Badala ya LAKI hata1.
 
Ni kawaida ya mtu mweusi kudhani kwamba kila tatizo analopata limesababishwa na mzungu hii tumeiona hata marekani watu weusi wana inferiority complex kwahiyo sikushangai wewe.
Mpuuzi ndiyo jina linalokufaa.Waliosema Urusi imehujumu uchaguzi wa Marekani ni weusi.Kama unawapenda na kuwaamini kiasi hicho jibadili uwe mwenzao.
 
Mkuu hii ndio mijinga ambayo IPO
Kutetea na kusema ndio kila kitu. Andiko lako limeeleweka kabisa juu ya mgawanyo wa kazi za jwtz kama ulivoanisha ila jinga Moja linakurupuka toka huko ndotoni lina comment tu bila kusoma kwa makini.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…