Bwana Utam
JF-Expert Member
- Feb 15, 2016
- 16,619
- 31,162
Israhell hamna kitu kabisaa wao wanachokiweza kupigana na kina mama na watotoHadi kufikia juzi
Kikosi kizima cha akiba kimesha ondolewa kutoka Ukanda kwenye ukanda wa Gaza na Kikosi cha
Makomandoo wa
Miamvuli namba 551 pamoja na Kikosi namba 14 cha Brigedi ya Hifadhi ya Kivita wanatarajiwa kuondoka muda wowote.
Wametema bungo mapema tu.